Mama yako ni Nesi au Mwalimu???
Hapa mi ningeshindwa kujibu
Ningekula winga kama Lunyamila
Mama yako ni Nesi au Mwalimu???
anafanya sawa na mama yako.
Dena habari yako.
enzi za mwalimu ndio tulikuwa na imani hizo
Bado navuta mda ucngizi hauji
daah hebu nimpige chini bibie nikaoe nesi