Walimu msiilaumu CHADEMA!

Walimu msiilaumu CHADEMA!

Asilimia 70 ya wafanyakazi wa nchi hii ni walimu hiyo haina ubishi[emoji144]
Hivi unajua waalimu nchi hii wapo laki 3 kasoro sasa ukisema ni 70% ya wafanyakazi unamaanisha nchi hii wafanyakazi ni laki 4 kasoro?? Does it make sense?
 
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.

Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa wanakufa!
Acha ujinga wewe , mbona mmeona walimu ndio jalala la kila lawama?
 
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.

Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa wanakufa!
Hii post ni ya kichonganishi CHADEMA wameingiaje hapa?? CHADEMA hawalipi mishahara ya watumishi wa umma.
 
Mkuu

Kuliko kuja na kashfa KWA Baba wa Taifa letu na hayati Rais JPM ambao ni Walimu bora Hadi wakawa marais,ni bora ukaimba ubeti huu hapa;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!

"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!
 
Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

HALAFU WASHASAHAU JINSI WANAVYOTUMIKA, WANA HOJA YAO ETI KAMA PESA HAM,NA KWA NINI WANASIASA HASA WABUNGE WANAENDELEA KUPATA POSHO ZA VIKAO NA MALUPULUPU MENGINE. MI NIWAKUMBUSHE TU KUPANGA NI KUCHAGUA NA UCHAGUZI UJAO MUENDELEZE UCHAFU WENU MAANA NJAA ZINAWAKONTRO.
 
Chadema ya mashoga tu... Waendelee kujisemea wao ktk kudai katiba itayo wapa uhuru wa ushoga
 
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.

Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa Shia wanakufa!

Walimu wameshika pabaya kipindi hiki. Hawaamini ATM kinachotoka huko.​

Attachments

  • 9565BCEE-D953-456F-AE5F-98385A31FF8A.jpeg
    9565BCEE-D953-456F-AE5F-98385A31FF8A.jpeg
    29.3 KB · Views: 13
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.

Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa wanakufa!
mtoa mada hvi walimu ndo aatumishi tu waliostahli hyo 23%? au kwa sababu ndo wengi?
 
Siku hizi mods wa JamiiForums wamekuwa wakiruhusu hata mada za hovyo kama hii!!? Hawaoni kuwa wanalishushia hadhi jukwaa hili ambalo limejijengea heshima kubwa?
Alichoandika mleta uzi haujakielewa?Ni uongo alichoandika?Mjifunze kumeza dawa chungu.Walimu waache kumtumikia shetani na makopo yake (CCM na dhambi zao)!
 
mtoa mada hvi walimu ndo aatumishi tu waliostahli hyo 23%? au kwa sababu ndo wengi?
Wanapewa ukweli.Wananchi wanawaamini walimu na wanawapenda.Changamoto yao,mind you siyo tatizo,changamoto yao ni kushiriki wizi wa kura na CCM kwenye chaguzi.Sina picha tu Ila wanashiriki kuiweka CCM madarakani hadi wamejisahau.
 
Walimu ni watu wajinga sana..ndo watu wa hovyo wa kwanza kushirikiana na CCM kuiba kura. Mwaka 2015 walidanganywa na CCM kila Mwalimu atapewa laptop, kama mazuzu yakashangilia. Lakin hayajifunzi
 
Walidanganywa kupewa "kombiuta mpakato"?Wanashindwaje kukopa kwenye viji-microfinances wanunue zao?
 
... hicho ulichojibu ndio ripoti yenyewe au sio?
Inaonekana we ni mgeni nchi hii ndio nyie mnakujaga na yale malori kama sio waithiopia basi ni wailitrea [emoji849]
 
Back
Top Bottom