Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
HahahaHahahaha ili ukayamwage mtaroni au....?
Kwenda nayo om tuu
Now nimebadilisha ninge nunua kirikuu
HahahaHahahaha ili ukayamwage mtaroni au....?
Huyo ni woga wake tu idadi ya hayo madaftari ni sawa na idadi ya tule tudaftar tudogo.. Ambacho watoto wameandika kwenye kaunta ni yaleyale ambayo wangeandika muleNi sawa acha alie kabisa, mjamzito alafu huo mzigo atasalimika kweli?
Hahahaahhahahaahahahahaha sometimes inakua kama usumbufu dawa ni kuchagua ammonite wawili na monitres wawili.. Pair moja itakua ya kusaidia kubeba madaftari tu nyingine ndo yayale majukumu ya darasaniMe nilikua nawaambia wakusanye wenyewe hukoo ofisini sitaki tabu,
Ya nini kuchoshana wakati tunalipa ada sawa!!!
Hasa zile siku za kudeki madarasa duhhhhhhhhhhhUkiranja wa darasa ulikua na changamoto zake kwa kweli. Mi shule ya msingi nlikua mpole sana na sikua na nguvu za kupigana, na kwa makusudi kabisa wakanchagua monitor. Sasa ole wangu niwaandike watemi wa darasa kwenye list ya wasumbufu. Ijumaa tukitoka nlikua nakoma. Changamoto nyingine ilikua kuchagua wafagia darasa
Wewe wewe wewe wewe mwalimu wewe!! !!?Huu ujinga wa kusahisha daftar nying labda huko private bt serikalin mwalimu kusahisha daftar ni uamuz wako hakuna wa kukulazimisha.
Mazoezi ya wiki nzima usahihishe kwa siku moja si utapata kibiongo mamy, dawa ni kutoa maswali mawili tuu ya zoeziMi ningekua tu nachagua siku moja ijumaa sifundishi nisiku ya kusahihisha tu mazoezi ya wiki nzima