My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,420
- 2,289
Walimu wamezidi asee, harakat za kupigania haki zao utahis labda ni kundi la vilemaTaja kada ambayo haiburuzwi na wanasiasa
We msenge acha kututusi wwWalimu ni kada iliyofeli kwenye malengo yao ya awali wakakimbilia ualimu ili kujikimu kimaisha. Japo ni taaluma ya kuelea na kukuza wataalamu wote lakini walimu wana IQ ndongo ndio maana ni rahisi kuburuzwa na wanasiasa
Huo ualimu watoto wako watautafuta hawataupata katika jina la YesuWalimu ni kada iliyofeli kwenye malengo yao ya awali wakakimbilia ualimu ili kujikimu kimaisha. Japo ni taaluma ya kuelea na kukuza wataalamu wote lakini walimu wana IQ ndongo ndio maana ni rahisi kuburuzwa na wanasiasa
Tena mbarikiwe sanaaaaa,Jamani mtuache na kazi zetu, binafsi nafarijika na huu ualimu wangu!!
MKUUUkisaini kazi ya ualimu umesaini umasikini wa kudumu wewe na familia yako, ndio maana mgomo wa walimu na mgomo wa madaktari wa walimu hauna uzito na hautishi wanasiasa.
Watu wanatumia tu hiyo kada kwa sababu wanajua walimu ni wengi hivyo ni rahisi kutumika kushindia mechi za watu.Walimu no 60% ya watumishi .Hakuna MTU yeyote anayehurumia mwalimu bila lengo nyuma ya pazia.Jiulize walimu no sehemu gani ktk population ya Watanzania milioni 61.7 ,Ila sasa kwa vile fedha yao inatengwa kwenye bajeti na watu wanaiona basi wanakuja kuipigia upatu.Walimu wamezidi asee, harakat za kupigania haki zao utahis labda ni kundi la vilema