Walimu kugoma tena

Walimu kugoma tena

sandefs

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
264
Reaction score
33
Walimu nchini wametega sikio kwa serikali juu ya madaraja, posho ya mazingira na mshahara mpya. La sivyo ni mgomo baridi
 
Kwani hatuja goma? Mimi niliposikia Celina Kombani anasema eti anaongeza mishahara kwa asilimia moja ziaidi ya ile nyongeza ya mwaka jana, nikawatangazia wanafunzi mgomo mwingine usio na kikoma hadi serikali itakaposikia madai yangu!!! Nipo kwenye mgomo hapa! Nawashauri waalimu wenzangu mniunge mkono ili tuitie adabu serikali na wazazi wa watoto hawa walioiweka serikali SIKIVU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI!!!
 
Ni muendelezo wa migomo tuu...hadi kieleweke,wameshindwa kuacha kununua mashangingi ila hawawezi kuwaongezea mishahara walimu,kwa kisingizio kuwa ameshaongeza mishahara kwa asimia zaidi ya hamsini pasipo kujua na gharama za maisha zimeongezeka zaidi ya asilimia mia noja?hivyo ongezeko lolote la mshahara lisilo na uwiano na kupanda kwa gharama za maisha ni muendelezo wa unyonyani kwa mfanyakazi wa umma
 
Utitiri wa migomo i njiani miezi michache ijayo kutokana na serikali ya CCM kuwapuuza wafanyakazi wa kada mbali mbali hivyo kusijekukasingiziwa CHADEMA hata kidogo.
 
Ila mimi napingana Kabisa na Aproach inayo tumiwa na walimu Kugoma, Kwa nini wasiige wenzao wa Kenya? Walimu wa Keny wao wanapambana na Serikali yao na si kuwafelisha watoto kwa sababu wanajua Madhara yake kwa baadae na itakuja kuwrudi wenyewe,

Walimu wa Bongo ni waoga Mno, na swala la Kufelisha watoto halikubaliki kamwe, ni kwa nini Msigome live?
 
Kwani hatuja goma? Mimi niliposikia Celina Kombani anasema eti anaongeza mishahara kwa asilimia moja ziaidi ya ile nyongeza ya mwaka jana, nikawatangazia wanafunzi mgomo mwingine usio na kikoma hadi serikali itakaposikia madai yangu!!! Nipo kwenye mgomo hapa! Nawashauri waalimu wenzangu mniunge mkono ili tuitie adabu serikali na wazazi wa watoto hawa walioiweka serikali SIKIVU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI!!!

Nyie ni waoga sana, Igeni wenzenu wa Kenya, wao wakitanganaza Mgomoni Mgome kweli na si Usanii, Huli la kufelisha watoto litakuja kuwarudi huko Mbeleni na mtakuja Kujuta wenyewe, Gomeni Live kama kweli mko siriasi, au ndo mambo ya Kuogopa kukaguliwa Vyeti?
 
duh, watu wanalazimishwa kugoma, hii tena kali
 
Nyie ni waoga sana, Igeni wenzenu wa Kenya, wao wakitanganaza Mgomoni Mgome kweli na si Usanii, Huli la kufelisha watoto litakuja kuwarudi huko Mbeleni na mtakuja Kujuta wenyewe, Gomeni Live kama kweli mko siriasi, au ndo mambo ya Kuogopa kukaguliwa Vyeti?

Duh Mchezo mwingine wa kuigiza tena!Waalimu wa Tz ni waoga ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na umasikini na ufukara walio nao.Naweza kuwafananisha na Wanaojiita waandishi wa habari hapa Tz kwani wooote wako disorganised.Ila tuone huenda ngoma inogile..
 
walimu hawako siriaz,ndo maana wanafanywa kama watoto wadogo kwa sababu:
-kwanza hawajui wanachodai.
-pili hawana mbinu za kisayansi za kudai.
-Tatu walimu hawako organised
-Nne chama cha walimu kimejaa mashushu na wasaliti wengi.
-Tano walimu wanahubiri kitu wasichokiamini.
Maoni yangu ni kama wanaamua kugoma tena basi kwanza watangaze kutokuwa na imani na Rais wao na Mwanasheria wao wa CWT.
 
Hawajui wanagomea nini...mi nafurahi wakigoma maana napata muda wa kula ngozi pale kunduchi njia panda huwa wanjaaaaaa sana kujadili mgomo...nagegeda tu kama nakula chipsi kwa tooth pick
 
Hakuna mgomo wa maana kama huu walio nao kwasasa, 60% ya walomaliza kidato cha nne wamefeli useme huo siyo mgomo?
 
Back
Top Bottom