Walimu kugoma tena

Walimu kugoma tena

kuna waalimu walicheleweshwa mwaka 2011 mpaka leo ni kilio tu.wanackilizia.
 
Walimu nchini wametega
sikio kwa serikali juu ya madaraja, posho ya mazingira na mshahara mpya.
La sivyo ni mgomo baridi

Basi utakuwa Mgomo Baridi Part II. Kwani, Part I tumeshayaona mazara yake tayari...
 
walimu hawako siriaz,ndo maana wanafanywa kama watoto wadogo kwa sababu:
-kwanza hawajui wanachodai.
-pili hawana mbinu za kisayansi za kudai.
-Tatu walimu hawako organised
-Nne chama cha walimu kimejaa mashushu na wasaliti wengi.
-Tano walimu wanahubiri kitu wasichokiamini.
Maoni yangu ni kama wanaamua kugoma tena basi kwanza watangaze kutokuwa na imani na Rais wao na Mwanasheria wao wa CWT.
Tatizo ni kuwa kuna watu humu jf wanajifanya kuwa wao ndo wana uchungu na walimu kuliko walimu wenyewe
 
Kwani hatuja goma? Mimi niliposikia Celina Kombani anasema eti anaongeza mishahara kwa asilimia moja ziaidi ya ile nyongeza ya mwaka jana, nikawatangazia wanafunzi mgomo mwingine usio na kikoma hadi serikali itakaposikia madai yangu!!! Nipo kwenye mgomo hapa! Nawashauri waalimu wenzangu mniunge mkono ili tuitie adabu serikali na wazazi wa watoto hawa walioiweka serikali SIKIVU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI!!!

naunga mkono hoja 100%.
 
Ila mimi napingana Kabisa na Aproach inayo tumiwa na walimu Kugoma, Kwa nini wasiige wenzao wa Kenya? Walimu wa Keny wao wanapambana na Serikali yao na si kuwafelisha watoto kwa sababu wanajua Madhara yake kwa baadae na itakuja kuwrudi wenyewe,

Walimu wa Bongo ni waoga Mno, na swala la Kufelisha watoto halikubaliki kamwe, ni kwa nini Msigome live?

live ipi unayoijua wewe?umesahau mwezi wa nane mwaka jana?
 
Duh Mchezo mwingine wa kuigiza tena!Waalimu wa Tz ni waoga ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na umasikini na ufukara walio nao.Naweza kuwafananisha na Wanaojiita waandishi wa habari hapa Tz kwani wooote wako disorganised.Ila tuone huenda ngoma inogile..

unahamu ya kupandwa wewe?
 
Labda niulize,cwt haina uwezo wa kulipa walimu mshahara hata mwezi moja tu,ili tugome mwezi mzima na tuombe serkal isitulipe tukiwa kwenye mgömo?
 
Mgomo ulianza tangu mkuu wa nchi aliposema serikali haiwezi kuongeza mishahara ya watumishi na anayeona mshahara ni mdogo aache kazi. Sasa WALIMU wameacha kazi na wamebaki na AJIRA.
 
Kwani hatuja goma? Mimi niliposikia Celina Kombani anasema eti anaongeza mishahara kwa asilimia moja ziaidi ya ile nyongeza ya mwaka jana, nikawatangazia wanafunzi mgomo mwingine usio na kikoma hadi serikali itakaposikia madai yangu!!! Nipo kwenye mgomo hapa! Nawashauri waalimu wenzangu mniunge mkono ili tuitie adabu serikali na wazazi wa watoto hawa walioiweka serikali SIKIVU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI!!!
Umemsikia nani mkuu:crying: mbona waziri kombani hakuna mahala ametangaza mshaharabutapanda kwa asilimia fulani. Acha uzushi na inaelekea wewe ni miongoni mwa watu wanaoendekeza mifarakano katika jamii. Umebaki kuvuliwa chupi tu
 
Duh....Hili fungu Nape, Kinana, Mama Salma wanalotumia kila kukicha kwenye ziara za kuwaahadaa wananchi si wangeliongeza kwenye mishahara ya watumishi wa serikali.?

Wanatenga mabilioni kwa ajili ya kuzikia wafu watarajiwa wakati kuna walioko hai hawajui watajikwamua vipi katika situations walizopo...Inasikitisha...
 
Kwani hatuja goma? Mimi niliposikia Celina Kombani anasema eti anaongeza mishahara kwa asilimia moja ziaidi ya ile nyongeza ya mwaka jana, nikawatangazia wanafunzi mgomo mwingine usio na kikoma hadi serikali itakaposikia madai yangu!!! Nipo kwenye mgomo hapa! Nawashauri waalimu wenzangu mniunge mkono ili tuitie adabu serikali na wazazi wa watoto hawa walioiweka serikali SIKIVU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKANI!!!

mbna hata mie kwenye mgomo, sina muda wakungojea tamko la cwt
 
Ni mgomo kwa namna yoyote, walimu hatuko tayari kukubariana na viwango hivi
vya mishahara visivyoendana kabisa na hali
halisi ya ugumu wa maisha.
 
ni bora waingie barabarani kuliko huu wa kazini tunaenda lakini kazi hatufanyi,madhara yake yameanza na tayari yanakuja.
 
hivi ni kwanini serikali iliamua kuondoa teaching allowance,disturbance allowance,job allowance n.k?kwa manufaa ya nani?
 
Back
Top Bottom