Walimu kufutwa tuition wamkumbuka Kikwete

Walimu kufutwa tuition wamkumbuka Kikwete

Nınachojua tuition kuzikomesha itakuwa ngumu kwa wazazi wenyewe ndiyo wanaziratibu kwa hapa Dar.Ukidhibiti tuition za shule ambazo kimsingi nı cheap,watoto watatafuta za mtaani ambazo nı ghali na sio salama!

nakubaliana nawe, tuition zinaletwa style mby, kwenye nacho watapanga deal na waalimu
 
Nınachojua tuition kuzikomesha itakuwa ngumu kwa wazazi wenyewe ndiyo wanaziratibu kwa hapa Dar.Ukidhibiti tuition za shule ambazo kimsingi nı cheap,watoto watatafuta za mtaani ambazo nı ghali na sio salama!

Umeongea kitaalamu zaidi kwa watu wenye uelewa tumekuelewa.
 
Mabadiliko ya kweli. Ni kuisoma namba wote. Ule ujanja ujanja utaisha
 
Watz bana.

Kwa akili zao wanadhani tuition ndio basi? Hayo matamko yameanza leo? ??? Bora mngeboresha madarasa nyumba za walimu maabara na maktaba
 
tangazoo gazetini limetoka. ni maumivu kwa walimu aiaeee
 
Gazeti gani jamani,manake Leo mtotoangu amekuja na kusema walimu wamewambia waende na elfu tano(5)ya chakula siku wanafanya mtihani WA std 4
Acha kupenda teremko wewe, changia elimu kwa faida ya motto wako. bule ghari bandugu
 
tangazoo gazetini limetoka. Ni maumivu kwa walimu aiaeee

matangazo yamekuwepo siku zote.walimu ni kupiga kazi tu .wale wapi?wengine wana marupurupu kibao.rupurupu la mwl tuition bwana.na walimu wanasema hapa tuition tu.!
 
Hakuna lolote! kama tution ilikuwa inasaidia mbona kila cku elimu inazid kushuka? tution haisaidii chochote, zaman watu hatujasoma iyo tution na elimu ilikuwa juu kuliko hv sasa

mi mwenyewe sijawahi soma tution tangu naanza la kwanza hadi namaliza chuo sema watoto wa siku hizi hawajitumi kabisa wao ni kucheza magemu kuangalia tamthilia na movie tu we unafikili watafaulu kweli.
 
Hayo ndo mabadiliko, Magufuli ni mrithi halisi wa Mwl Nyerere!!

Anafuta kwa maneno matupu tu? Apeleke fedha kwenye mashule michango itajifuta yenyewe. Wilayani kwangu mara ya mwisho shule zimepokea ruzuku mwezi Februari tena nyingi chini ya laki moja..
 
hatutaacha kupeleka watoto wetu tution hata iwe ni nyumbani kwa mwalimu mpaka mtakapo walipa walimu vizuri ili nao watoe material yakutosha shuleni,usimpeleke mwanao wakwangu wataenda najua zinawasaidia ndio mana wanaongoza kwenye madarasa yao
 
Labda kama tukubaliane kuwa hatujui maana ya tuition.

Ila mmi nilikuwa vyuo kadhaa tuition ipo pale pale kama sio kutoka kwa Mwl. basi kwa mwanafunzi mwenzio ishu ikigoma mnaenda kwa kanjanja.

Nilichojua ktk govt. schools wazazi wanaona kama ile pesa akimpa mwl anae anaemsaidia mwanae kama anatupa chooni. Ni hivi kma wazazi wanaona elimu ni ghali wajaribu ujinga sisi walimu tunajiendeleza kusoma unaenda vyuoni unalipia, hospital unalipia, Maji unalipia, kinyesi na mkojo wako mwenyewe unalipia takataka unalipia, sasa ikija inshu ya kulipia elimu kelele zinaaanza.

OK, nilienda private Fulani teachers motivation inalipwa na wazazi na matokeo ni mazur walimu wana hamasa. Walimu tumieni FUKU approach wataelewa tu wazazi vilaza wanaoweza kuchangia harusi na sio elimu za watoto wao!!! Kama mbwai iwe mbwai tu bwana kitu gani!!!!!!
 
Labda kama tukubaliane kuwa hatujui maana ya tuition. Ila mmi nilikuwa vyuo kadhaa tuition ipo pale pale kama sio kutoka kwa Mwl. basi kwa mwanafunzi mwenzio ishu ikigoma mnaenda kwa kanjanja. Nilichojua ktk govt. schools wazazi wanaona kama ile pesa akimpa mwl anae anaemsaidia mwanae kama anatupa chooni. Ni hivi kma wazazi wanaona elimu ni ghali wajaribu ujinga sisi walimu tunajiendeleza kusoma unaenda vyuoni unalipia, hospital unalipia, Maji unalipia, kinyesi na mkojo wako mwenyewe unalipia takataka unalipia, sasa ikija inshu ya kulipia elimu kelele zinaaanza. OK, nilienda private Fulani teachers motivation inalipwa na wazazi na matokeo ni mazur walimu wana hamasa. Walimu tumieni FUKU approach wataelewa tu wazazi vilaza wanaoweza kuchangia harusi na sio elimu za watoto wao!!! Kama mbwai iwe mbwai tu bwana kitu gani!!!!!!
 
Enzi zangu nasoma mzee ndio alikua ananitafutia tuition, leo hii ningekua nasoma wangepiga marufuku tuition pangechimbika hahah, angeniletea mwl wa tuition home
 
Jamani walimu tunachoka kufundisha hata likizoni. Ndo maana elimu ya sasa ni kukariri tu. Futeni nasi tupumue.
 
Mwenye hasara hapo si Mwalimu japo wengi wanadhani kuwa Mwalimu ndo mwenye hasara kumbe siyo,mwenye hasara hapo ni mzazi ambaye anatakiwa akae mkao wa kupokea Division Five ya Mwanae,jamani tusidanganye humu ndani wengi tumechomokea Tuition,Mapindi ya Class hayakuweza kukidhi haja,Labda Seminary hasa zile za Kikatoliki ambazo mtoto kwa O-level anasoma muda wa miaka mitano,huyu hakuwa na haja ya Tution kabisa,maana miaka mitano ilitosha kwa Mwalimu kumaliza Syllabus yote kuanzia Form One hadi Form Four.
 
Hivi tamko limetolewa maana binti yangu kaniambia wametangaziwa shuleni kwamba hakuna kutoa tena pesa za michango elimu ni bure

imezuiwa nashangaa hawa wanaoendekeza njaa,kila siku wanabuni mbinu mpya.
 
Tuition ni kwa ajili ya kutafuta pesa.tambua hilo.
 
Back
Top Bottom