Walimu: Kitaeleweka tu

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Misewe, Tabata, Dar es Salaam ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika Hisabati na ujumbe ubaoni unaosomeka ‘Kitaeleweka tu, mkitulazimisha kuingia madarasani itakuwa hivyo’ jana, ikiwa ni mwendelezo wa mgomo wa walimu kuishinikiza Serikali kushughulikia madai yao mbalimbali.
Mahakama imewaamuru kurudi kazini
 
 
Hili ni Somo la Hesabati sio Hesabu? Kitaeleweka tu kwani 1+3=13 23-3=7 3x3= 333 Hahahah hizi hesabu za kichina??????????????? Crashwise
 
Last edited by a moderator:

Sisi wenye watoto shule za kata tumeliwa kavukavu!
 
Mimi siwapingi ila hofu yangu mtayafanya hayo kwa watoto wa nani, wa magamba au wa sisi walala hoi? Kwanini chama cha CWT kisiongee na chama wa walimu huko wanakosomea watoto wa magamba (popote duniani) ili CWT ya huko ndiyo iwafanyie hivyo watoto wote wa magamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…