MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
And kama unaongelea waliomaliza form six then wakaenda ualimu ni wabovu..kuna vyuo kama kampala..,imtu,st john kuna watu wanaosomea udaktari na course nyingine za afya ambao ufaulu wao ni mdogo kuliko mtu aliyeenda kusomea science education university of dar es salaam..sasa hapo kati ya huyo mwalimu aliyesoma ud na daktari wa kampala university nani mwenye ufaulu na uwezo mdogoUnaongelea failure kwa failure mkuu...hata kama wanachukua point 27 ualimu still ni four...halafu upande wangu mwanafunzi yeyote ambaye kamaliza four akapiga four akakimbilia chuo huwa namuita Kilaza...ninaowaongelea ni wale wamemaliza form six wakaingia chuo wanaoenda ualimu upstairs ni wabovu...so tambua hao unaowaongelea wote uwezo mdogo...ni sawa na aliyemaliza form six akafeli na kupata principal moja akakimbilia diploma, so tambua point asilimia kubwa waalimu ni wabovu upstairs
hivi walimu wamewakosea nini juzi kulikuwa na uzi unasema walimu hawapati wanawake wazuri, watu wengine vituko sana
Mkuu umenichekesha sana
Mkuu unaweza kuniwekea hapa hizo min.entry qualification ngazi ya cheti kwa mtu wa sheria na technology na vyuo vinavyotoa hizo course na mimi nikuwekee hapa min.entry qualification kwa cheti ualimu na vyuo ili tufanye comparison wapi wanachukua ufaulu mdogo????Zipo nyingi tu mkuu. Mathalani kada ya sheria na teknologia ngazi ya cheti min. entry qualifications ni kubwa ukilinganisha na ualimu.
Mkuu nilijua tu utauliza swali lako kwa namna hii!Owk kwa maelezo yako kumbe kuna mtu aliyesoma pcb anaweza kwenda kusoma udaktari kampala university or hubert kairuki wakati ufaulu wake ni mdogo kuliko mtu aliyesoma pcb na akaenda science education university of dar es salaam...sasa hapo kati ya huyo daktari na mwalimu nani mwenye ufaulu na uwezo mdogo????
una wasemeaje watu walio wahi kuwa walimu, watu kama Hayati Mwl Nyerere, Rais Magufuri, na Waziri Mkuu, Mhesimiwa Majaliwa, ambao ni viongozi wa kuigwa,ukilinganisha na viongozi ambao hawakuwahi kuwa mwalimu na wanashindwa hata uongozi ulio tukukaTakataka,unaongea pumba tu hapa,hata tunaokusikiliza tunaonekana pumba vilevile
anhaaa kama point yako ndo hiyo kwani ukipata three huwezi kusoma law.??Kama ulinifuatilia vyema nilitoa sababu kadhaa za wengi kukimbilia ualimu...halafu pili wengi wanaomaliza kidato cha nne na kufeli wengi wabovu kichwani, tukubaliane hakuna kufeli kwa bahati mbaya au kufaulu kwa kubahatisha...hivyo basi hao wakishafeli ndio linakuja swala la familia kama lina uwezo wa kusimamia show mpaka amalize chuo kama hawawezi vilaza hawa hukimbilia udhamini wa wizara ya elimu na kupangiwa vyuo na hatimaye vilaza hawa humaliza na kusubiri kupangiwa shule kama wanavyosubiria kupangiwa wa sasa....
Hebu nijuze swala moja hivi iwapo mpo wawili mnasoma HKL halafu matokeo kutoka umefaulu na kupiga one ya tano na mwenzako akapiga three suppose ni 14 unadhani wewe utaenda kusoma education chuo?? Kama ni ndio basi linakuja swala la familia kwamba ukitaka kusoma law hutapata mkopo hivyo itakulazimu kusoma ualimu ila yule wa three hana option kwakuwa amefeli...kwahiyo tukubaliane waalimu wengi wabovu upstairs
KIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.Mkuu unaweza kuniwekea hapa hizo min.entry qualification ngazi ya cheti kwa mtu wa sheria na technology na vyuo vinavyotoa hizo course na mimi nikuwekee hapa min.entry qualification kwa cheti ualimu na vyuo ili tufanye comparison wapi wanachukua ufaulu mdogo????
So mkuu kumbe unakubaliana na mimi kuwa sio kila aliyesoma ualimu anauwezo na ufaulu mdogo kumbe kuna baadhi ya watu ambao wamesoma vitu vingine tofauti na ualimu ufaulu wao ni mdogo kuliko hao walimu and mtoa mada ye kuzungumzia hilo swala too general and kada zote zinawatu wenye ufaulu mdogo na mkubwa vilevile sema watu wamekuwa wakiuchukulia ualimu kama ndo wawatu waliofeli sababu walimu ndo kada ambayo inawatu wengi kuliko zote although kuna ukweli kuwa kwa kiasi fulani watu wengi waliosomea ualimu hawana ufaulu mkubwa sana but si woteMkuu nilijua tu utauliza swali lako kwa namna hii!
Hapo ndo inaingia issue ya accreditation ya hicho chuo na TCU watahusika.
Ndo maana vyuo km KIU na IMTU si vya kupeleka kijana wako kama ww ni mtu wa viwango.
Ukitaka kulinganisha alama za udahili kwa wanafunzi wawili tofauti relay kwenye chuo kimoja.
Hayupo sahihi mimi nina two na nipo education hapahapa udsmAcha uongo uliokubuhu kuna watu wana division 2 na 3 walichukua education bachelor pale udsm na ninawajua..... Ila pole naona uzi umekukwaza
Mkuu nimeomba uniwekee min entry qualification na vyuo za hizo course ngazi ya cheti ambazo umedai wanachukua ufaulu mkubwa kuliko ualimu na mimi nitakuwekee hapa kwa upande wa ualimu ngazi ya cheti then mimi na wewe kwa pamoja tutafanya comparison ili tujue ni wapi wanapochukua ufaulu mkubwaKIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.
Hahahhaaaaa hahahahahaaaaa uuwiiiiii!!!Nimeweka hapo awali ukifundishwa kupika haimainishi aliyekufundisha ataendelea kuwa zaidi yako, juhudi zako ndizo humfanya mtu ampite...mwalimu aliyenifundisha uwezo wake ndio uliishia pale ila kwa juhudi zangu nikampita...kwahiyo kama alimaliza form four akapiga four akapelekwa ualimu kisha akaja kufundisha shule ya msingi, mie mwanafunzi wake nikasonga mpaka chuo kikuu bado utasema mwalimu ni bright?! Asilimia kubwa ya waalimu uwezo upstairs ni mdogo
Na kingine mie sikusoma ualimu Bali nilisoma PSPA (Political Science and Public Administration)
Mkuu nimeamua nikuwekee sheria na upande wa technology ngazi ya cheti tena chuo cha mzumbe..je ufaulu huu ni mkubwa kuliko min entry qualificaon ngazi ya cheti ualimu????? Na kama ndo hivyo kwanini watu wawili mmoja ana cheti sheria mwingine anacheti ualimu ila mwenye cheti ualimu ndo anaonekana aliyefeli kuliko sheria?????KIU vs MZUMBE. Na hapohapo usisahau umaarufu wa chuo hata kama minimum entry qualifications zipo sawa.
anhaaa kama point yako ndo hiyo kwani ukipata three huwezi kusoma law.??
Ww fani yako nini mhe. Na hivi kufeli ni kupata div III? We ulipata Div 1 ya point ngapi?Sio kweli naongea jambo kwa fact udsm education watu wenye three wapo wengi sana na rafiki zangu waliofeli kipindi hicho walisoma pale...ili uweze kuingia DUCE au chuo chochote ualimu kwa vyuo vikubwa kama UDSM, DUCE, MUCE n.k unatakiwa uwe na point kuanzia 5 sasa point tano ni divion ngapi??? Kama S=0.5, E=1, D=2, C=3, B=4, A=5 hivyo point tano maana yake ni D D E ambazo ni point 5 ila ni divion Three point 13...mpaka hapo kuna swali ndugu?!