Walimu karibu wote uwezo mdogo

Hilo halina ubishi. Walimu wa siku hizi wengi ni vilaza, they have poor reasoning capacity na wako shallow sana karibu kila nyanja.
Katika kada ambayo watu wake hawajiamini basi ni walimu si ke wala me!
Unakuta ni Mwalimu wa lugha lakini hajui hata kuunganisha sentesi!?

Jiongezeni walimu, sio kubweteka tu eti kisa ajira zenu ni zina security ya kutosha
 
Ndio maana product ya siku hizi ni watoto wasiojua kusoma na kuandika
 
Duh kwa hiyo hawa wenye akili na uwezo mkubwa walifundishwa na wenye uwezo mdogo(vilaza) hapa nashindwa hata niunganishe vipi hii logic ya kilaza kumfundisha mtu mpaka akawa bright.
 
Kigezo cha wengi kwenda ualimu kwa uchovu kiuchumi hicho nakubaliana nacho,ila kwenye ufaulu hapo kafanye utafiti vizuri mkuu
 
Umeandika ujinga mtupu huyo aliyekuambia matatizo ya elimu ni walimu ni nani? hujui chochote kuhusu elimu ya tanzania. Nitajie kada ambayo haina watu wacheti waliojiunga wakiwa na elimu ya kidato cha nne
 
Mkuu naona umekomaaa kinyama ingia tovuti ya udsm download majina ya waliochaguliwa 2015-2016 kama utakuta kuna anayesoma ualimu hana division 1,,,, bila division 1 huon mlango wa nkurumah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Si kweli!!! Kuna watu nawajua wana 2 na 3 wapo hapo!!!
 
Acha uongo uliokubuhu kuna watu wana division 2 na 3 walichukua education bachelor pale udsm na ninawajua..... Ila pole naona uzi umekukwaza
Mkuu katika ngazi ya cheti ni kada gani ambayo inachukua ufaulu mkubwa kuliko zote....tuanzie hapo kwanza
 
Nijibu hili swali kwanza..katika ngazi ya cheti ni kada gani inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote...tuanzie discussion yetu hapo
 
kwa staili hii bongo hatuwezi endelea ni vyema tufikirie kwa kina kabla ya kutupia post zetu. so ina maana kufaulu ni div 1 tu na wengine wa two na three ni vilaza?
 
Mkuu tuanzie ngazi ya cheti..ni kada gani inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote
 
Hii ni kweli kwa asilimia mia moja, maanake wengi wao maisha yao ni ya kawaida na wanakotoka maisha ni ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…