Walimu jiji la mwanza wakaguliwa vyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu jiji la mwanza wakaguliwa vyeti

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mama visa, Aug 29, 2012.

 1. m

  mama visa Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu j. tatu walimu jijini hapa wanakaguliwa vyeti.niwaulizeni wana jf hili zoezi na kwenu lipo?wanakagua yafuatayo:cheti cha fm 4,ualimu,leaving certificates na result slips.sababu wanataka kubaini vyeti feki.:yawn:
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanalipiza kisasi cha mgomo.Ukaguzi wa vyeti ufanyike kwa watumishi wote!
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wangeanza na Mawaziri na wabunge pia katika mashirika ya umma ambayo huliingizia Taifa hasara kila mwaka sababu ya vihiyo waliopo huko.Sijaona ukaguzi huu wa walimu Dar.
   
 4. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,855
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Basically Hili Zoezi ni Muhimu sana kwa Tanzania Yetu!! Sasa Angalia ile Barua ya Mtendaji Kata!! Hajanunua Cheti Yule!!
   
Loading...