Kama mtakavyokumbuka, Boniface Jacob, diwani wa Ubungo (CHADEMA), na mlinzi Hemed Sabula wanatuhumiwa kwa kumteka na kumpiga aliyekuwa mlinzi wa Dr. Slaa, Bwana Kagenzi. Kesi iko mahakamani. Mojawapo ya masharti ya dhamana kwa watuhumiwa ni kama ifuatavyo;
"Hakimu Lema aliwataka washtakiwa kuwa na wadhamini wawili kila mmoja ambao wanatoka katika taasisi inayotambulika au serikalini isipokuwa walimu. Wadhamini hao walipaswa kusaini hati ya dhamana ya maandishi ya Sh milioni 10."
KWA mujibu wa tamko hilo, tafsiri ninayoipata ni kuwa taasisi ya ualimu haitambuliki serikalini na pia mahakama imeamini kuwa hakuna mwalimu anayeweza kuwa na mali yenye thamani ya hiyo hela? What is wrong with ualimu? Pia, walimu wanaozungumziwaq hapa ni wepi? Wa shule za msingi?, Sekondari? Vyuo vya elimu ya juu? Hata maprofesa wa vyuo vikuu? Au wote?
Ama kweli nchi hii haikosi vituko. Na kwa ujinga wa walimu wa nchi hii, watanyamaza kimya.Walimu wa nchi hii amkeni, kumekucha.