Walimu hawatambuliki serikalini

Walimu hawatambuliki serikalini

Haa haa walimu wengi ni walamba miguu ya viongozi hasa ccm. Wacha waburuzwe tu.
 
Wanaofundisha vyuo vikuu siyo walimu kama ambavyo wengi mnadhani. Hawa wanaitwa wahadhiri. Ndio maana hakuna vyuo kwa ajili ya kusomea ualimu wa chuo kikuu

nipe tofauti kati ya mwalimu na mhadhiri!
 
Hakika wewe ni pwagu sana. Kumbuka miongonimwa watumishi wa serikali ambao hawapaswi kuwadhamini watuhumiwa ili wasiathiri kazi zao ni pamoja na walimu. Hii iliwekwa kwa makusudi kwa lengo la kuwalinda walimu na kuwafanya watumie muda mwingi kufundisha bafsla ya kuhangaika na kesi

we ni pwaguzi! Vp kuhusu madaktari? Kwao wao hawawezi kuathiri kazi zao tena ambazo ni very sensitive ktk kuokoa maisha ya binadamu!!
 
Pitia kwanza vifungu vya sheria ili ujue sababu iliyojengwa ndiyo uje kusema wamezingatia vitu vingi,sababu moja wapo mtuhumiwa katika kupata wadhamini haitakiwi awapate kirahisi kwakuwa ni mtuhumiwa inakuwa ni sehemu ya adhabu,

sabula na mwenzake tayari wamepatikana na hatia kwahiyo tayari mahakama imewatia hatiana kwahiyo masharti ya dhamana lazima yawe magumu kidogo ili iwe ni sehemu ya fundisho,

Inafahamika walimu wanapatikana kwa wingi maeneo yote hivyo kwa gaidi kama sabula na wenzake haitakuwa shida kuwapata,

ukisoma zaidi sheria itakupa majibu mengi mazuri ila shida yenu bawacha hata kusoma shida.

Naona hata hiyo elimu yako ya STD 7 haijakusaidia maana unapost utumbo go back to school QT is waiting for you.
 
Back
Top Bottom