Walimu hatuna thamani

Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au

Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....
Ila walimu mnajua kulalamika watani zangu, lakin sawa maana mnajipigania
 
FB_IMG_1491740389281.jpg
 
Checking...100%
Searching...100%
Downloading...100%

Network connected !
Near by Uporoto Mbeya.
 
Hivi angekuja kulaumu mwanajeshi ungemwambia habari za viboko??? Embu muwache dharau kwa walimu.

Hafu na nyie walimu muamke muache ujinga sasa, felisheni ili heshima yenu ije.
Tz unaongozwa na walimu lkn wamewsahau walimu wenzao huku chini
 
Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au

Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....
Yaani hii kada kila siku kulalamika wao tu, kuna wafanyakazi wenzenu wao kila siku ni kusaga soli vijijini tena katika mazingira magumu, mfano kuna Afisa kilimo, ustawi wa jamii kuna manesi pia, wako na watendaji wa vijiji na kata tena wao ni kama jalala maana kila kitu kinawaangukia wengine hadi mmewazidi mishahara mbona hawalalamiki? Kuhusu muda hakuna watu wanapata good time kama waalimu. Mfano kwa mwaka wana likizo mara nne nusu mwezi kwa mwezi wa April na September na likizo mwezi kwa miezi ya June na December kipindi hiki wanafunzi wapo likizo alafu unabaki kulalamika muda hautoshi embu jaribu kujipanga mkuu
 
Walimu acheni kulalamika.
Kwanza walimu wametosha mashuleni.
Tuna mpango wa kupunguza so stay tune.
Nenda bank chukua mkopo to tha maximum hata ukitolewa uwe umewatia hasara
 
Nimewashauri nanyie mwende kule twiter muanzishe hashtg kama ya kumtafuta roma "mshahara wetu ukowapi" muweke napicha kabisa ya maisha magumu ya mwalimu mkumbukwe!!!
 
hao uanaosema wanamshahara sawa na wwalimu wao wana posho za katikati ya mwezi, posho za vikao na marupurupu mengine yanayowafanya wawe tofauti na mwalimu. pia usitake kufanya ulingaanisho wa walimu na kada zingine, walimu ni muhimu kipekee kwani ndio wwanaoandaa wataalamu na viongozi.

pia unasema mwalimu atumie muda muda wa zaida. muda uanouita wa ziada unatumika ktk kujiangaa vizuri ili kumpataia mwanafunzi virutubisho muhimu. ikiwa walimu watakua bize tu kutumia muda wa ziada kufanya shughuli zao binafsi, basi inamaana hawataajiandaa ktk madesa na hivyo ubora wa ufundishaji hautakuepo, na hivyo tutapata wataalamu na viongozi wa sampuli ya Bashite
tumekusikia ombi lako nini sasa mwalimu wetu:rolleyes:
 
Bhahahahaaa, nimeamua kuacha hiki kibarua (sio kazi) sasahivi nakula good time kwenye mishe mishe zangu mjini.
 
Back
Top Bottom