ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
hao uanaosema wanamshahara sawa na walimu, wao wana posho za katikati ya mwezi, posho za vikao na marupurupu mengine yanayowafanya wawe tofauti na walimu.Tatiz mnaongea sana utafikir ninyi ndo mnafanya kaz peke yenu ivi uliwah kufuatilia mishahara ya wafanyakaz wengine ambao sio wakuu wa idara (msiwe mnaongea ongea sana we acha kaz kuna Mtu kakulazimisha kufanya kaz iyo .mnaniboa sana na kulalamika ovyo utafikiri mliambiwa mkiacha kaz mtafungwa jela
walimu kuacha kazi sio suluhu ya tatizo.
