eddye
Member
- Oct 12, 2016
- 53
- 17
We bashite wa piliWalimu hamna DHAMANI ndo nn
We bashite wa piliWalimu hamna DHAMANI ndo nn
We na bashite Hanna tofauti.hivi utendaji unasomewa chuo gani???Nanyi mmezidi mno kulalamika,mbona mishahara yenu inalingana kada nyingine,mf Kilimo,Watendaji wa Kata etc.
Lkn wao hawalalamikii mshahara
(Labda ungesema posho,sawa)
Kuhusu muda,walimu mna muda mwingi sana,mf kuanzia Ijumaa hadi Jpili mko free.
Hata baada ya saa za kazi hampati usumbufu wowote.
(Tumia muda vizuri kujishughulisha na mambo mengine)
AsantePoleni sana!
Hawajipi thamani wao mwenyewe kiasi hadi wanasiasa na watawala wamewafanya km dekioMchawi wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe.
nazingua tu mkuu. dunia ya leo kila mtu anaangalia maisha yake kwanza. kwasasa hakuna uzalendo wa kuchomeakea kama walimu wa zamani huku huna hela mfukuno, yaani ni full madeni kwa Mangi. walimu wa zamani walivishwa kiremba cha ukoka kua walikua wanaheshika ktk jamii. cha ajabu baada ya kustaafu, sasa ni malofa wa kutupwa na ile heshima yao kishwa habari yake.Wewe endelea kutumia muda wa ziada kuwaandalia virutubisho wanafunzi badala ya kupigania maisha yako kuongeza kipato cha ziada!!teeh..teeh yani walimu bhana hivi unaijali vipi serikali ile hali wewe inakupuuza miaka 50+ ya uhuru,,?Nikumnukuu mdau hapo juu 'dawa ni kufelisha kuvunja rekodi,serikali ni kuongea nayo kwa vitendo sio maneno'' maana kwa maneno bwana yule haaimbiliki na jana Lindi kadai kua sirikali yake sio ya kutishwatishwa na sidablyutii'
We na bashite Hanna tofauti.hivi utendaji unasomewa chuo gani???
Iyo typng er tu hata wewe unaweza kukosea cm zenyewe toch unamlaumu tokea uwanze kutumia cm hujawai kukosea kuandika msg au kujishauwa tuDhamani au thamani?
Halafu unadai uongezwe hela wkt utakuwa unafundisha watoto kusema DHAMANI ? Mh
Iyo typng er tu hata wewe unaweza kukosea cm zenyewe toch unamlaumu tokea uwanze kutumia cm hujawai kukosea kuandika msg au kujishauwa tu

Pimbi tu weweWe unaetetea mwenyewe uko ICU unahitaji darasa la kuandika kiswahili.
Aliekosolewa kanyamaza na kurekebisha wee mwenzetu na ""Iyo typng er"" "uwanze" "cm" "kujishauwa"""
Geuza rudi ulikotokea ujifunze kuandika kwanza ndo uje tuongee![]()

Pimbi tu wewe![]()
CWT iko wapi mpaka unakuja kulalamika hapa wakati kuna chama kinakula michango yenu kila mwezi? JitambueniDaaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....
Unaijua elimu yangu wewe au sehemu ya kutolea hajakubwa inakuwasha? Mnajifanya kuwatoa watu kasoro kumbe vyeti mnavyotumia vya watu mbumbavu zenuElimu Ya msingi bure rudi Kasome mwandiko na spelling dada. Usione haya elimu haina mwisho.
Daaah.....serekali ijaribu angalau kuangalia maisha ya waalmu jaman........kazi ni kubwa lakin mshahara mdogo......waalimu hawapati mda wa ziada kufanya extra work ili angalau kuongeza kipato........makato ni mengi sana,,,,,,hivi serekali mnafikiri kukomoa waalimu au??Waalimu hawapati stahiki zao kwa mda......ni inakaribia mwaka sasaa hakuna
1;increment
2;waalimu hawajapanda madaraja
3;madai yao hayajalipwa kama pesa za kujikimu,uamisho etc
4;mazingira wanayoishi ni magumu sana especially vijijini
5;Teaching materials kwa vijijini hakuna hata....hivi umtegemee mwalimu wa somo atumie simu yake ku google notes za wanafunzi au
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Embu serekali jaribuni kutatua matatzo ya waalimu then ndo muanze kulalamika kwa nn matokeo mabovu....
Unaijua elimu yangu wewe au sehemu ya kutolea hajakubwa inakuwasha? Mnajifanya kuwatoa watu kasoro kumbe vyeti mnavyotumia vya watu mbumbavu zenu
Title imekosewa wapi?Mbona unataka kumuongezea stress mwlimu wetu wa Uraia?Kimsingi kitu cha kuanza kueleweka katika uandishi ni TITLE kwenye content huwa tunaenda kupata wide info sasa kama TITLE ina mistake how can you convice me nitaelewa content!!??