Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
serikali italeta magari ya walimu kama tunayoona idara nyingine kama mahakama, mem, bot etc? kama ni huu usafiri wa umma haitawezekana
Tumewaangalia walimu.... Makondakta na Madereva nao wako kazini, ikiwa bure kwa walimu nani atakayewalipa vizuri hawa wenzetu amabao kila siku inatakiwa hesabu ya bosi...."tumewafikiria kwenye mikataba na haki zao je, hili nalo si litabadilisha maslahi yao pia? nafikiri serikali iangalie namna ya kutoa ruzuku ili wasiwaumize wengine. au la magari ya serikali yatumike kutekeleza utaratibu huo"Kama watatengenzewa kitambulisho ambacho kinawekeka mfukoni au kwenye handbags sioni Kama kutakuwa na manyanyaso mana mwalim ataingia kwenye Gari bila hata kujulikana Kama ni mwalim ila wakat wa konda anadai chake ndo pale anaonyeshwa kitambulisho, pia nafkiri iwekwe sheria kali kwa konda yoyote atakae mnyanyasa mwalim.mbona hatujawah kuskia wanajeshi wananyanyasika kwenye madaladala? Hii nchi sheria zikisimamiwa vizuri kila mtu atakuwa na adabu na hata mwanafunzi anaweza kusafiri bure tuache ujinga ujinga
au wanakalia 'kitimoto'Watakuwa hawakai kwenye siti kama kama wanafunzi, ni mwendo wa kusimama tu
Unakaa foleni masaa matatu...ruhusa ya kitambulisho ni masaa 2...kwa konda ninavyowajua atasubiri muda huo upite ndiyo akusanye nauli vinginevyo ushuke njiani kabla muda wa kusafiri bure mwalimu haujaisha......
Muda wa kuwasafirisha bure ni saa 11.30 hadi 2 asubuhi na saa 9 hadi 11 jioni.
Kuna jamaa walilalamika kuwa Makonda anaigilia kazi zao... Usikute na Mkuu wa mkoa nae analalamika kimoyomoyo! HahahahahaaaaTangazo hi kalitoa kwa upande wa Kinondoni au Dar mzima Hivi mkuu wa mkoa kastaafu?
Manesi hamna issue kiviiile..Manesi vipi?
Makonda kijana huyu anaakili sana itabidi awe mkuu wa mkoa wa dar anafaa sana.