elia mgina
Member
- Dec 29, 2011
- 27
- 2
MIMI SINA LA KUSEMA COZ wewe unafaa kuitwa majina yote yanayo mfaa kwa asie na kichwa kizuri. yaani tukuonyeshe milembe hospital ilipo coz you cant talk this nonsence kwenye forum mhim kama hii....... TAKE AWAY UR STUPIDITY!!!!!!!!Nyie walimu mna nini? Kila siku mlikuwa mkililia hizo post...mmezipata mnaanza tena kuleta makuu...mara kule bush sana siendi, bora nibaki skan....wengine wamekazana na kubadilishana..kafanyeni kazi nyie tena mtue chini mzgo wa ujinga.