Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,127
Tumeshazoea kutukanwa na bar maidSasa utendaji wa serikali ya ccm ni dhaifu unazidi kuzalisha jamii ya wajinga kila kukicha.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tumeshazoea kutukanwa na bar maidSasa utendaji wa serikali ya ccm ni dhaifu unazidi kuzalisha jamii ya wajinga kila kukicha.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hakika reformer ni miongoni mwa kizazi cha laana.
Tumeshazoea kutukanwa na bar maid
Bar maid wa m..ako bar utawajua tuNa pia mmeshazoea kununuliwa na walevi
Bar maid wa m..ako bar utawajua tu
Generation ya aina yako hamtusumbui kwa kuwa hampigi kura.Inakuuma ee!chungu lakini dawa!Vumilia kijana!Mmezoea kuwageuza watanzania wawe wajinga ili mmuendelee kuwatawala kirahisi!This is another generation boy!
Generation ya aina yako hamtusumbui kwa kuwa hampigi kura.
Ndg makamanda,
Katika kile kinachoonesha kama maji kufika shingoni kwa serikali ya rais Kikwete kutokana na kupuuza ushauri unaokuwa unatolewa na wataalamu mbalimbali hapa nchini,
Kumekuwa na wataalamu wengi hapa nchini ambao wamekuwa wanatoa ushauri wa kitaalamu kwa serikali ya rais Kikwete lakini ukaishia kupuuzwa,tumeona wataalamu kama Dr. Kitila Mkumbo akitoa ushauri kuhusu masuala ya elimu hapa nchini pia tumemwona prof. Issa Shivji akitoa ushauri kuhusu mambo ya kisheria na katiba pia kuna akina dr. Benson Bana,
Napenda kuelezea USHAURI ALIOWAHI KUTOA KITILA MKUMBO KUWA KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU LAKINI SERIKALI IKAPUUZA NA KUTELEKEZA MADAI YAO AMBAYO KIMSINGI YANA TIJA KATIKA KUONGEZA UBORA WA ELIMU HAPA NCHINI,KITILA MKUMBO ALIZUNGUMZIA MENGI LAKINI ALISISITIZA ZAIDI SERIKALI KUTEKELEZA MADAI YA WALIMU NA KUACHA KUWAPA VITISHO WALIMU AMBAO NDIO WAMEWAFIKISHA HAPO WALIPO SASA AKINA KAWAMBWA,MULUGO,JK NA WENZAO
KILICHOTOKEA SASA KTK MATOKEO YA FORM FOUR NI UPUUZAJI WA USHAURI UNAOTOLEWA NA WATU MBALIMBALI HUSUSANI WATAALAMU KAMA KITILA MKUMBO,hivyo napenda kutoa rai kwa serikali kuwa KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU.
PIA NAPENDA KUWA ONYA WABUNGE AMBAO WANAFAHAMU KUWA HAWANA MCHANGO WOWOTE KTK MAENDELEO YA TAIFA ILA KTK KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO NI BORA WAKAACHIA MAJIMBO ILI TUWAPE WATAALAMU AMBAO TAALUMA ZAO ZINA MSAADA KTK TAIFA HATA BILA WENYEWE KUJITANGAZA KUWA WANA PHD AU MASTERS,PIA NAPENDA KUTOA RAI KWA MWIGULU NCHEMBA KUACHA KUWAZA TENA KURUDI BUNGENI KWA KUWA ELIMU YAKE NI USELESS NA AMWACHIE KITILA MKUMBO AMBAE ELIMU YAKE INA MASLAI KWA TAIFA NA YEYE AKABAKI KUWA KIONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE KAMA MWENZIE NAPE AMBAE WANA KAZI YA KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO YASIPASULIWE BILA GANZI.
Nawasiliswa.
Mbona kuna watu wanaelimu ya dini na wanafanya kazi za siasa na mnakubali kuongozwanao.utaona 2015 kama hatupigi kura,kilaza mkubwa we unaleta umagamba hapa,ebu kamsaidie nape kuleta CV ZAKE HAPA JF,yani ana F YA CIVICS AFU ANAFANYA POLITICS?
Mbona kuna watu wanaelimu ya dini na wanafanya kazi za siasa na mnakubali kuongozwanao.
Mbona kuna watu wanaelimu ya dini na wanafanya kazi za siasa na mnakubali kuongozwanao.
siamini kitila kama anawapiga domo wajinga kama wewe. ningekuwa mimi ningekuambia kupigiwa chapuo na wewe ni bora nisipigiwe kabisa kwa sababu inaonyesha hata wewe mwenyewe hazikutoshi.
Kwa mtazamo wako elimu bora ni ile ya Sugu,Mbowe,Lema,Wegesa Charles Suguta na PhD ya canon law.hv we mbulula kweli,hv hujui maana ya elimu,elimu ya dini iko juu kuliko elimu fake ya kupeana u-dr wakichawi ile ya JK,elimu ya wizi wa majina ya akina mwigulu{lameck mkumbo},kigwangala{said bagalile},philipo mulugo{amimu} na nape{nahum} au elimu ya kujua jinsi ya kuua ndovu aliyonayo kinana au elimu ya jinsi ya kubadilisha jina la rushwa kwa kuiita TAKRIMA elimu hii anayo MANGULA,elimu ile iliyofail kufanya kazi UN ya migiro?
Kwa mtazamo wako elimu bora ni ile ya Sugu,Mbowe,Lema,Wegesa Charles Suguta na PhD ya canon law.
Kwa mtazamo wako elimu bora ni ile ya Sugu,Mbowe,Lema,Wegesa Charles Suguta na PhD ya canon law.