Walimpuuza Dr. Kitila, sasa wako wapi?

Walimpuuza Dr. Kitila, sasa wako wapi?

sugu,lema na mbowe wana elimu ambayo imewasaidia kujua nchi inavyotafunwa na ccm kila kukicha haya ebu NIWEKEE MBUNGE WAKO UNAEWEZA MFANANISHA NA SUGU KTK UJENZI WA HOJA YAKINIFU,ebu leta wambunge wenu 50 uwasimamishe na lema ktk afu tuwape hoja uone nani kati yao atajenga hoja yenye mashiko,afu nikupe MBOWE afu umlete JK na kapa bachelor chake uone alivyo mdhaifu,HV WE UNA AKILI HV UNAWEZA KUMFANANISHA YULE CHIZI WENU SADIFU NA JOHN HECHE AMBAE JINA LA NYUMBANI NI WAGESE SUGUTA {KAMA ALIVYO LAMECK MKUMBO AMBAE JINA LA NYUMBANI NI GULO SHUMBI MADELU},HECHE ANA ORIGINAL BACHELOR YA SAUT KAMA UNABISHA KACHUKUE POSHO LUMUMBA,HV UNAHOJI PHD YA SLAA AMBAYO INATAMBULIKA MPAKA ROME ITALIA PIA HAO TCU WENU WANAITAMBUA KUWA SIO YA KUBUMBA KAMA YA WALE MAJAJI WA JK AMBAO NI VIHIYO,
Kimboka,ninakushauri ukalale nimeashaanza kuona athari za kukesha JF.Aliekutuma ameshakuona kama ataamua kutokukulipa kwa thread yako atakuwa ameamua tu kukudhurumu tu.

 
Achakutumia Makalio kufikiri.
Mtoa mada ameeleza lingine, sijui umekurupuka kama kibaka unakuja kupost upumbavu...........
Hujisikii raha mpaka ujiongeleshe kwa wanaume?

 
Wanasema "Mtaji wa CCM ni Ujinga"

Kwahiyo watu kufel, ni kuuboresha mtaji wao, wala hawasikitiki, kwanza watoto wao hawasom huku tunakofelisha sana.
 
Huyu Mingoi mi nilishaachaga kusoma argument zake nahisi ni jamii ile ile ya 60% juzi.Anazungumzia akili sio kutenda mbona yeye haendi kutenda anakali kupiga majungu tuu huku JF.Kimsingi tafiti ndio zinasababisha matendo.Dr.Kitila ametafiti kama mwanataaluma na ameshauri,unakuja wewe haujielewi unaongelea matendo bila yakuwa na tafiti ndio maana priorities are upside down acha kuidanganya serikali inayoundwa na Chama chako
 
Siasa za Ki-magharibi ndizo zimetugawanya na kutufikisha hapa.

Waafrika tulilazimishwa tuzifuate siasa hizo ili wakubwa wale waendelee kututawala (remote control divide & rule system phenomena).kama unabisha unaacha sikulazimishi kumeza.

Kamwe Afrika haitakuwa huru na kuungana,siku ambapo Afrika itaungana raia katika nchi hizo watakuwa si waafrika wa asili.

Amani tulionayo nchini itadumu tu pale matakwa ya wakubwa hawa/Wazungu yatakapo endelea kukubaliwa na pande zote zinazosigishana na siku upande mmoja utakapoteleza au kuwa na tamaa ya madaraka na fedha hakika tutayumba.

Sijafanya utafiti wowote haya ni maoni tu ukitaka chukua usipotaka unaacha maana siku hizi wendawazimu tupo wengi sana.
 
Wanasema "Mtaji wa CCM ni Ujinga"

Kwahiyo watu kufel, ni kuuboresha mtaji wao, wala hawasikitiki, kwanza watoto wao hawasom huku tunakofelisha sana.


Ujinga una mahusiano gani na karamu na karatasi ya kupiga kura?
 
Kuongea na utendaji ni vitu viwili tofauti kwa mwenye akili analijua hilo.

mkuu hujakosia ila umeshindwa kukumbuka huwezi kuongea bila ya kufikiria then ukaongea na baada ya kuongea ndipo ukatenda, sasa kama hawa magamba wameshindwa hata kufikiri walimu ni kila kitu ktk taifa lolote duniani wataweza kutenda kwa kuwatimizia madai yao?
 
Watoto wa magamba kwani si wanasoma shule zenye walimu wazuri tena waliomotishwa vema kabisa, huko hakuna migomo. Mtanzania amka sasa, watoto wetu ndio wanaoathirika na migomo ya walimu na ile ya madaktari. Tuamke watanzania kuendelea kuwa na CCM ni sawa na kukubali kuendelea kuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe.
 
Ndg makamanda,

Katika kile kinachoonesha kama maji kufika shingoni kwa serikali ya rais Kikwete kutokana na kupuuza ushauri unaokuwa unatolewa na wataalamu mbalimbali hapa nchini,

Kumekuwa na wataalamu wengi hapa nchini ambao wamekuwa wanatoa ushauri wa kitaalamu kwa serikali ya rais Kikwete lakini ukaishia kupuuzwa,tumeona wataalamu kama Dr. Kitila Mkumbo akitoa ushauri kuhusu masuala ya elimu hapa nchini pia tumemwona prof. Issa Shivji akitoa ushauri kuhusu mambo ya kisheria na katiba pia kuna akina dr. Benson Bana,

Napenda kuelezea USHAURI ALIOWAHI KUTOA KITILA MKUMBO KUWA KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU LAKINI SERIKALI IKAPUUZA NA KUTELEKEZA MADAI YAO AMBAYO KIMSINGI YANA TIJA KATIKA KUONGEZA UBORA WA ELIMU HAPA NCHINI,KITILA MKUMBO ALIZUNGUMZIA MENGI LAKINI ALISISITIZA ZAIDI SERIKALI KUTEKELEZA MADAI YA WALIMU NA KUACHA KUWAPA VITISHO WALIMU AMBAO NDIO WAMEWAFIKISHA HAPO WALIPO SASA AKINA KAWAMBWA,MULUGO,JK NA WENZAO

KILICHOTOKEA SASA KTK MATOKEO YA FORM FOUR NI UPUUZAJI WA USHAURI UNAOTOLEWA NA WATU MBALIMBALI HUSUSANI WATAALAMU KAMA KITILA MKUMBO,hivyo napenda kutoa rai kwa serikali kuwa KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU.

PIA NAPENDA KUWA ONYA WABUNGE AMBAO WANAFAHAMU KUWA HAWANA MCHANGO WOWOTE KTK MAENDELEO YA TAIFA ILA KTK KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO NI BORA WAKAACHIA MAJIMBO ILI TUWAPE WATAALAMU AMBAO TAALUMA ZAO ZINA MSAADA KTK TAIFA HATA BILA WENYEWE KUJITANGAZA KUWA WANA PHD AU MASTERS,PIA NAPENDA KUTOA RAI KWA MWIGULU NCHEMBA KUACHA KUWAZA TENA KURUDI BUNGENI KWA KUWA ELIMU YAKE NI USELESS NA AMWACHIE KITILA MKUMBO AMBAE ELIMU YAKE INA MASLAI KWA TAIFA NA YEYE AKABAKI KUWA KIONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE KAMA MWENZIE NAPE AMBAE WANA KAZI YA KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO YASIPASULIWE BILA GANZI.

Nawasiliswa.

Tatizo ualimu wa sasa hasa wa shule za msingi na sekondari kusema kweli bila kuumauma maneno sio wa wito!"wengi" wa waalimu hawa hawakufaulu kiasi cha kutosha kuwafanya waendelee na elimu ya juu na kufikia hasa malengo waliyoyatarajia!kutokana na hili tumepata waalimu wengi ambao hawajawahi kuutamani ualimu ila wameenda kuwa waalimu kwa sbb ya ugumu wa maisha,hawa ndio wanaofanya shule za msingi watoto wanamaliza miaka saba pasipo kujua kusoma na kuandika!angalau waalimu wa sekondari siwezi kuwalaumu kwani sio kazi yao kufundisha watu kuhesabu,kujumlisha,kutoa na kubwa zaidi kusoma!ukuiletewa wanafunzi wa hivi una uhakika lazima watapata div 0!Mshahara mkubwa hawawezi kulipwa waalimu wa aina hii "waliofeli" labda utaratibu wa kupata waalimu ubadilike wawe wanaofaulu sana ndio wanakuwa waaalimu "kama chuo kikuuu ilivyo" hata kama walitazamia potelea mbali nacho ni kipaji!Lakini kama ni mishahara kupanda ya waalimu hawa wa sasa vipi ma daktari,Engineers,wahasibu,wanasheria,cdo,etc (waliofaulu kuwazidi hawa waalimu)!Mshahara hauwezi kupanda kwa mkumbo tu lazima kila mtu apate kulingana na juhudi zake!vinginevyo mnachokitaka hakuna chama kinaweza kufanya kikiingia madarakani!"Hata mkikasirika huu ndio ukweli"
 
Tatizo ualimu wa sasa hasa wa shule za msingi na sekondari kusema kweli bila kuumauma maneno sio wa wito!"wengi" wa waalimu hawa hawakufaulu kiasi cha kutosha kuwafanya waendelee na elimu ya juu na kufikia hasa malengo waliyoyatarajia!kutokana na hili tumepata waalimu wengi ambao hawajawahi kuutamani ualimu ila wameenda kuwa waalimu kwa sbb ya ugumu wa maisha,hawa ndio wanaofanya shule za msingi watoto wanamaliza miaka saba pasipo kujua kusoma na kuandika!angalau waalimu wa sekondari siwezi kuwalaumu kwani sio kazi yao kufundisha watu kuhesabu,kujumlisha,kutoa na kubwa zaidi kusoma!ukuiletewa wanafunzi wa hivi una uhakika lazima watapata div 0!Mshahara mkubwa hawawezi kulipwa waalimu wa aina hii "waliofeli" labda utaratibu wa kupata waalimu ubadilike wawe wanaofaulu sana ndio wanakuwa waaalimu "kama chuo kikuuu ilivyo" hata kama walitazamia potelea mbali nacho ni kipaji!Lakini kama ni mishahara kupanda ya waalimu hawa wa sasa vipi ma daktari,Engineers,wahasibu,wanasheria,cdo,etc (waliofaulu kuwazidi hawa waalimu)!Mshahara hauwezi kupanda kwa mkumbo tu lazima kila mtu apate kulingana na juhudi zake!vinginevyo mnachokitaka hakuna chama kinaweza kufanya kikiingia madarakani!"Hata mkikasirika huu ndio ukweli"

kwani madai ya walimu ilikua mshahara tu?au na wewe umekurupuka?ebu fuatilia vyema madai ya walimu ndo uje tena,kama ukishindwa nenda lumumba kachukue posho.
 
ccm wamepuuza kila kilicho cha msingi si elimu 2, angali Afya, kilimo, ajira nk..
Ndg makamanda,

Katika kile kinachoonesha kama maji kufika shingoni kwa serikali ya rais
Kikwete kutokana na kupuuza ushauri unaokuwa unatolewa na wataalamu
mbalimbali hapa nchini,

Kumekuwa na wataalamu wengi hapa nchini ambao wamekuwa wanatoa ushauri
wa kitaalamu kwa serikali ya rais Kikwete lakini ukaishia
kupuuzwa,tumeona wataalamu kama Dr. Kitila Mkumbo akitoa ushauri kuhusu
masuala ya elimu hapa nchini pia tumemwona prof. Issa Shivji akitoa
ushauri kuhusu mambo ya kisheria na katiba pia kuna akina dr. Benson
Bana,

Napenda kuelezea USHAURI ALIOWAHI KUTOA KITILA MKUMBO KUWA KUCHEZEA
WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU LAKINI SERIKALI IKAPUUZA NA KUTELEKEZA MADAI
YAO AMBAYO KIMSINGI YANA TIJA KATIKA KUONGEZA UBORA WA ELIMU HAPA
NCHINI,KITILA MKUMBO ALIZUNGUMZIA MENGI LAKINI ALISISITIZA ZAIDI
SERIKALI KUTEKELEZA MADAI YA WALIMU NA KUACHA KUWAPA VITISHO WALIMU
AMBAO NDIO WAMEWAFIKISHA HAPO WALIPO SASA AKINA KAWAMBWA,MULUGO,JK NA
WENZAO

KILICHOTOKEA SASA KTK MATOKEO YA FORM FOUR NI UPUUZAJI WA USHAURI
UNAOTOLEWA NA WATU MBALIMBALI HUSUSANI WATAALAMU KAMA KITILA
MKUMBO,hivyo napenda kutoa rai kwa serikali kuwa KUCHEZEA WALIMU NI
KUCHEZEA ELIMU.

PIA NAPENDA KUWA ONYA WABUNGE AMBAO WANAFAHAMU KUWA HAWANA MCHANGO
WOWOTE KTK MAENDELEO YA TAIFA ILA KTK KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO NI
BORA WAKAACHIA MAJIMBO ILI TUWAPE WATAALAMU AMBAO TAALUMA ZAO ZINA
MSAADA KTK TAIFA HATA BILA WENYEWE KUJITANGAZA KUWA WANA PHD AU
MASTERS,PIA NAPENDA KUTOA RAI KWA MWIGULU NCHEMBA KUACHA KUWAZA TENA
KURUDI BUNGENI KWA KUWA ELIMU YAKE NI USELESS NA AMWACHIE KITILA MKUMBO
AMBAE ELIMU YAKE INA MASLAI KWA TAIFA NA YEYE AKABAKI KUWA KIONGOZI
NDANI YA CHAMA CHAKE KAMA MWENZIE NAPE AMBAE WANA KAZI YA KULINDA
MATUMBO YA MABOSI WAO YASIPASULIWE BILA GANZI.

Nawasiliswa.
 
Kimboka,ninakushauri ukalale nimeashaanza kuona athari za kukesha JF.Aliekutuma ameshakuona kama ataamua kutokukulipa kwa thread yako atakuwa ameamua tu kukudhurumu tu.


hv we umeelewa hata thread inahusu nn?au haya ndo maadili mliofundwa na NYERERE?ebu jikite katika hoja kaka,ebu nijibu hli swali ili niamini hauko bar unakunywa viroba vya jerojero:JE WEWE UNAONA NI SAWA KABISA WATOTO KUFELI KIASI HIKI AFU WAZIRI ANASEMA HAWEZI KUWAJIBIKA?JE WEWE UNAONAJE MATOKEO HAYA NA AHADI YA RAIS KIKWETE MWAKA 2005 KUWA ELIMU UFAULU UTAPANDA KILA MWAKA,JE AHADI YAKE SASA IMETEKELEZEKA?JE UNAZUNGUMZIAJE WIZI WA MAJINA UNAOFANYWA NA VIONGOZI WENGI HASA WA CHAMA TAWALA?hayo yanatosha kupima uelewa wako kama kweli haujavurugwa,kama kweli hauko kwenye msafara wa waendao lumumba'
 
una akili za kamasi wewe,hv TZ ukieleze wema na mazuri ya mtu ni kumpigia chapuo,ebu niambie nampigia chapuo kwa lipi,angalia akina NAHUM NAUYE WASIJE WAKAKUINGIZIA VITU VYENYE NCHA KALI COZ UNA AKILI MGANDO NA FIKRA FINYU NA WENYEWE WANA 'F' YA CIVICS SO HAWAJUI NINI MAANA YA URAIA NA SIASA,
na hapo ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia. pole.
 
Mkuu Mingoi heshma yako!!!! Hawa MaCDM wanakurupuka kumsifia Mtu bila ya kupima mizania ya nini kakisema. Hata akiongea utumbo wao humsifia tena kumpamba kwa mapambio, ukiwakosoa duu mitusi kibao. Sasa alichopost huyu lichadema nini haswa hapa? Utumbo mtupu, ili mradi aongeze post kwa siku aonekane kufanya kazi kubwa na wazee wa kinondoni wampe ujirani wake ili apate mkate wake.
 
Back
Top Bottom