Walikuwa wapi kumtaja Bashite badala ya Makonda

Na je katika hiyo vita ni nani muuzaji aliyekamatwa akafikishwa mbele ya haki na akatiwa hatiani
 
chamsingi mwambie bashite wako aoneshe vyeti hayo mengine tutayajadili!
 
Nani wanataka vyeti sahihi Katika serikali ya Tanzania? La Makonda liliibuka kwa sababu watu wanafuatilia kujua usahihi wa elimu za viongozi wao

Watu wameondolewa Kazini maelfu kwa maelfu, sasa Yeyote asiyekidhi vigezo ana haki ya kuandamwa.

Hata hao walioondolewa Kazini walikuwa wachapa kazi hatari
 
Kwani anavyo vyeti?
 
Tanzania hii, bado kuna mwanaume anamtetea bashite?
 
Hawana majibu, wapo wanatunga mengine. Hata hili la filamu wanaweza kuwa wamekimbilia kulibeba ili basi tu wamsumbue Kiongozi mchapa kazi Mheshimiwa mpendwa.

Makonda oyeeeee
Hawana majibu? Kwa akili yako ya kibashite hayo ni maswali na sio ujinga?
 
Jina la Bashite limetajwa kitambo sana tangu Bashite ni mkuu wa wilaya ya Kinondoni labda wewe ndiyo umeanza kujua haya maswala leo.
 
kosa halibadiliki kuwa si kosa eti tu kwasababu kuna mazuri kayatenda.
 
Tatizo Bashite wewe sio Smart kabisa Kiongozi.
Hakuna Movie yeyote uliyo Direct ikawa na Success,Zote zina buma.
1. Walimu na Daladala Bure = 0% Success rate
2. Omba omba Dar = 0% Success rate
3. Kutambua watu wasio na kazi Dar = 0% Success rate
4. Kupaka rangi Nyumba Dar = 0% Success rate
5. Kila Nyumba Dar kuwa na taa za nje = 0% Success rate
6. Zile Ziara zako na kuishia kutukana na kuweka watu ndani = 0% Success rate
7. Vita dhidi ya Ngada = 0% Success rate

Kimsingi hizi Failures ndio zimekufanya kuwa Maarufu na wala sio Kinyume chake
 
Hii nadhani imeandikwa na mtuhumiwa mwenyewe. Kwa hiyo majibu anayo mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…