Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Mkuu kula takataka sio uhuru. Wanafanyaga hivyo vichaa.afadhali nile takataka lakini nina uhuru wangu!
Viongozi watendaji wakuu wako hadi wanakukwepa mikutano yako...duh!!Uhuru ata nyumbani,Uhuru hata shule, Uhuru hata kazini Kila sehemu Uhuru ndio utangulia
Refer South,Libya na Ethiopia.
Umenena vyema kuuita utawala badala ya uongozi...kuna wakati sisi wananchi tunajikuta tunachukiana wenyewe kwa wenyewe kwa matatizo yaliyosababishwa na wanasiasa.Utawala wa awamu ya tano ulikuwa the one man show
Siasa ni kete, Bora hizo hela za ndege ungefufua kilimo wananchi wengemuelewa!! Maana kilimo na masoko yake yanagusa wanachi wengi 80% kuliko Dreamliner watu hata 5% hawafiki.
[/QUOT
pesa zote zilizowekezwa kwenye maendeleo ya vitu zingewekezwa kwenye kilimo zimesharudi kwa mda mfupi mara tatu ya hizo huku zikichochea ukuaji wa viwanda na kumalixa shida ya ajira nchini.
alipoanza tu kusomesha watu namba nikajua tu amejitengenezea bomu,maendeleo yote shibe kwanza.Mtaji ni watu na sio vitu cheki lipumba kabaki na chama MAALIMU kasepa na kijiji.Madaraka bila maarifa ni maafa!
Utawajua tu waliokuwa wanapata F kwenye somo la Hisabati.Wa Tanzania tupo milion 55
Kwanini serikali isitenge milion 55 itugawie kila mtu milion 1?
Hilo ni kosa kubwa mno la kiufundi la CCM... watahangaika nno uchaguzi huu!!Utawala wa awamu ya tano ulikuwa the one man show
Mi napitaga kwenye flyovers naziona takataka tu, Kama siko huru ikiwa siwezi hata kuccoment habari siasa kwenye social mediaKati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi.
Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani lakini watu wakakosa Uhuru ipo siku utajiri huo utapotea.
Tunajenga vitu na ni Jambo jema ila tulipokosea nikuthamini vitu tukasau utu. Hakuna daraja wala ndege wa jengo lolote linaweza kuthaminishwa na utu..nafsi ya mtu ni ghali kuliko kitu chochote.
Mnaendelea kuwekeza kwenye vitu bila uungwaji mkono wa watu Jambo linalovikosesha vitu hivyo thamani.
JK alijenga mwendo kasi akaweka na mfumo mzuri wa kuhudumia watu, awamo ya tano imeachana kabisa na miundombinu hiyo nakujikita kwen