Duh na atm kazi yake nini huko nje! Waacheni watoto wa wenzenu na wao washerekee xmas majumbani mwao! Na bora wafunge kupunguza matukio mabaya ya ujambazi!
Kwenye ATM za CRDB mwisho kutoa ni milioni moja kwa siku,inakuwaje ukihitaji zaidi?
Duh na atm kazi yake nini huko nje! Waacheni watoto wa wenzenu na wao washerekee xmas majumbani mwao! Na bora wafunge kupunguza matukio mabaya ya ujambazi!
We unaongelea pesa za kununua bia? watu wanaongelea Internationa transaction, watu wanataka kulipia mizigo ya kule China, kwa hiyo kule china utalipa na M-pesa?
Kwa mawazo yako unajua benki ni kwenda kutoa pesa tu na kuweka eti,
Inategemea unahitaji kiasi gani,jaribu kutoa Milioni tano kwa Mpesa
Kwa kifupi kwa sasa CRDB huduma zao ni za hovyo sana na kwa sasa najindaa kuhamia KCB make nimechoka na benki za kibongo
unataka wenzako wasipumzike?-sio machine wao-acha wapumzike-hakuna kazi za kinaa kama za benk,jana Krismasi, wateja walikwenda banki ya CRDB Tawi la Mlimani City wakiamini itafunguliwa saa 4 asubuhi na kufungwa saa 8 mchana kama tangazo lao mlangoni linavyosema siku za wikiendi na sikukuu. cha ajabu, mlinzi mmoja akapewa jukumu la kuwatangazia wateja kwamba hawatafungua tawi hilo mpaka tarehe 26.
Hoja yangu si wao kutofungua bali nilishangaa ni kwa nini hawakubandika tangazo kama ilivyo utaratibu?
nilidodosa kutoka kwa mfanyakazi mmoja wa benki moja ya CRDB jijini Dar akasema utaratibu ni kwamba, inapotokea tawi linataka lisifunguliwe siku ya sikukuu, linapelekwa ombi kwa bosi wao, Charles Kimei, akikubali, wafanyakazi wanatangaziwa kisha wanabandika tangazo ili kutengue lile tangazo lao la kudumu mlangoni ambalo lina maelekezo ya muda wa kuingia kazini kuanzia Jumatatu-Ijumaa halafu Jumamosi, Jumapili na sikukuu.
wateja waliumia sana, tunaomba uongozi uliangalie hili.
Kimei kishalewa madaraka,,,,Magufuli fukuza hii kitu,,
daamn..hivi tajiri wa bank hii na vile?
Tawi lipi la crdb Leo hii litakuwa wazi?
Ok thanks!Mlimani city na vijana branch. Kuanzia saa 4 asubuhi. Kama ni mkazi wa dar.