Hivi wapi nitapata mafunzo ata online ya mapishi ya kiafrika lakin yawe yameandikwa kwa english?
Pole sana..
naomba siku zisogee nisepe na sirudi tena
Thubutuuu jifundishe kupika uko
Tafadhali sana nipo kati kati ya miguu yako samahani chini ya miguu yako...leo nina tukio la ghafla....
asante sana farkhina
Masikhara mbali sijapenda hayo mazungumzo yako..
Ukhty Yaa Qammar..Hebu ntilie take-way 'angu nkale hukooo!!Mahitaji...
Mchele nusu kilo...
Kuku 1 kata vipande vipande...mroweke na tangawizi na chumvi
Carrot 1 ikwangue...
Green peas/njegere kiasi..
Kitunguu kikubwa 1..
Mchanganyiko wa spices upendazo..
Kotmir au persley ukipenda.
Mafuta ya kupikia...
Namna ya kutaarisha
Weka mafuta kiasi katika sufuria
Mkaange kuku hadi awe golden brown alafu mtoe weka pembeni...
Kaanga vitunguj maji kikikaribia kuwa brown weka peas na carrot wacha viwive kwa dakika 2-5.
Weka mchele changanya vizuri...weka kuku wako ulimkaanga na weka kotmir uliokata ndogo ndogo
Punguzia moto...weka maji kutokana na mchele wako na funika sufuria hadi kuwiva....
Kama haukauka vizuri weka katika oven au wekea mkaa juu...
Epua tayari kwa kuliwa