jamii yetu na mitazamo tofauti
"mtu wa mademu saana huwa anamwona mlevi mpuuzi na mharibifu wa hela kwenye pombe na huku yeye kajisahau gharama anazotumia kumpata demu flani"
Sisi wazee wa drilling mabosi wetu wengi wanakula sana mtungi na fegi so kama hutumii kimoja kati ya hivyo anakuona snitch na ni ngumu kuwa rafiki yake. So swala la kuaminika ofisini nadhani inategemea na aina ya kampuni na mabosi