Vein ya hapa XO lounge unaiweza ama utakuwa unawaza..?Aahhahhaaha mkuu sipati somrtymz notification..! Enjoy mkuu..ukija siku tukae Florida hapa round abt..chocho jipyaaa...sema halina wahudumu classic..wahudumu gan wamefunga vilemba Kama wainjilist
Ndo wapi hapo mkuu🤭Vein ya hapa XO lounge unaiweza ama utakuwa unawaza..?
Hiki kinywaji Mie sitaki...unaweza Kesha😛Alaf na mzuka flan wa kupaa[emoji23]
Hapa shiverz ya zaman[emoji2960][emoji41]Ndo wapi hapo mkuu[emoji2960]
Hivi ndivyo tulivyo,tuna upendo wa kweli kutoka moyoni[emoji481][emoji481][emoji481]View attachment 1532372
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.
Wewe mwenyewe umelewa hii post kaandika mlevi
Kunywa pombe upate usingizi mkuuHalafu wanatumia nguvu kubwa sana kutuchafua tusiokunywa...ooh kama hunywi pombe lazima utakuwa ma.laya, mtu wa majungu n.k na kujifanya eti wao ni watu poa
Frustrations kakaMlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Wewe mbweha kaa kimya, kwanza unijui! Eti niache pombe! Bila pombe pengine usingezaliwa.Wewe kenge, mimi sijaajiriwa mimi na kluuu langu ndio tumeajiri vijana kama wewe.
Tukiwapa ushauri msijifanye wajanja kuliko sisi kaka zenu.
Tumezaliwa hapa hapa mjini, tumewapokea hapa mjini, mnajifunza pombe tunawaona ila tukiwashauri mnatuita washamba.
Pole sana dogo!
Bila pombe nisingezaliwa???Wewe mbweha kaa kimya, kwanza unijui! Eti niache pombe! Bila pombe pengine usingezaliwa.
Ila ndo tabia zenu zilivyo.. unajiona mwanaume kumbe umejawa na tabia za kike.
Ongeza na hili:Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
M@t@ko yako.Bila pombe nisingezaliwa???
Unatumia kiungo gani kufikiria???
Mkuu hapa unajibizana na wapumbavu
Utadhani anatununulia yeye..!!!
Kwahyo msiouknywa hamkaziwi hao wake zenu au?..mwe...
Duh!Shida sio kuacha pombe, unaacha unamuachia nani?