walevi waje!

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,806
9,300
wakuuu!

Najua walevi wapo wengi tu humu, wenyewe ukiwakuta maeneo yao ya kujidai vitu vyao wanaviita vyuma au vyombo
sasa hebu tusaidia kutaja aina yako mvinyo ambayo for your taste wewe umeiona classic na expensive
Kuna aina ya mitungi hiyo, kama wewe mgeni wa mambo utapiga one shot chaliii...! sasa wewe hebu taja izo unazozijua wewe kwa experience zako


Wakuuu!
 
Ile Ambayo alikunywa Kitwanga, na ile anayoisifia Lusekelo(Mzee Wa bapa) in noma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom