Walevi tuwekewe sikukuu yetu kutokana na mchango tunaotoa

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,796
1,350
Tupo hapa bar fulani kama kawaida tunaburudika. Yaani round zinazunguka kama kawaida.

sasa ndo nimetowa wazo hapa tunalijadili na hata ikiwezekana liwekwe kwenye rasimu ya WARIOBA.
Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuweka sherehe ya walev na wavutasigara coz uchumi wa nchi yetu unatutegemia sisi walevi na wavutasigara.

Tunapendekeza sikukuu ya walevi iwe tar. 9 september yani 9\9
sikukuu ya wavuta sigara iwe tar 6 june yani 6\6.

ViA zidumu fikra za mlevi

waiterrr.... lete KILIMANJARO baridi haraka.
au tuhame bar??
 
Nikiwapo mimi mwenyewe hii inchi nimechangia kiasi kikubwa cha mapato kupitia pombe - Kwakua kuanzia Juma3 - January - hadi December hakuna siku nalala bila kugonga Castle Lager 5-6 ndio niwadanganye Mbu ndipo nilale bila hivyo lazima niugue!
 
Sasa kama kuna siku ya kunywa maziwa duniani kwanini kusiwe na siku ya kutambua mchango wa walevi kiuchumi Tanzania. NAUNGA MKONO HOJA MIA KWA MIA
 
Tupo hapa bar fulani kama kawaida tunaburudika. Yaani round zinazunguka kama kawaida.

sasa ndo nimetowa wazo hapa tunalijadili na hata ikiwezekana liwekwe kwenye rasimu ya WARIOBA.
Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuweka sherehe ya walev na wavutasigara coz uchumi wa nchi yetu unatutegemia sisi walevi na wavutasigara.

Tunapendekeza sikukuu ya walevi iwe tar. 9 september yani 9\9
sikukuu ya wavuta sigara iwe tar 6 june yani 6\6.

ViA zidumu fikra za mlevi

waiterrr.... lete KILIMANJARO baridi haraka.
au tuhame bar??
Cha msingi ninachokiona mimi ni kuwa walevi, wawe na chama chao na uongozi wao wa kitaifa.

Viongozi hao wa kitaifa, watalazimika kila mwaka wakati wa kusomwa bajeti, wawe pale Dodoma, na viongozi hao watakuwa wanamwambia waziri wa Fedha kuwa, tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha na unyonge wetu ndiyo uliotufanya tuonewe kiasi hiki na kuanzia sasa hatutakuwa tayari kuonewa na kunyonywa tena na watapaswa wawe wanampiga mkwara, waziri wa fedha kuwa ole wake kama atapandisha kodi ya vinywaji vyao na kama atakaidi agizo hilo, watahamasisha wanywaji wote waingie msituni, ambako hakuna bar,grocery wala pub, ili tuone kama vasco da gama, kama atafanya tena trip nchi za nje, kwa kuwa sponsors wakubwa wa ziara za mkulu, nje ya nchi ni walevi wa kutupa wa nchi hii, kupitia kodi kubwa wanazolipishwa, kwenye vinywaji vyao pendwa!
 
tena iwe ni mapumziko siku hiyo, na kama kuna siku ya watu wanaotumia mashoto sembuse ya BWAX dei, muhudumu leta grants bapa hapa, mpelekee kabwela kili 4 mbili moto, mbili baridi a mix, halafu niitie yule dada pale cheupe.
 
Kwakuwa cc ndo walipa kodi wakuu wa nji hii hatuna mengi sana tanataka heshima hii,baa zisiwe na mwisho wa kufunga,tukianza kunywa asubuhi tusibugudhiwe,tukilewa kazini tupewe vitanda vya kupumzika,ukipata ajali ukiwa umelewa hamna kesi,ulinzi tena wa polisi baa zote ,turuhusiwe kuvuta sigara hata kwenye basi na kuheshimiwa sana na wote wasiokunywa
 
lakini hiyo siku ni marufuku kuendesha vyombo vya moto walevi wote
 
Back
Top Bottom