Walevi ni kundi linalonyanyasika

certified mdokozi

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
1,403
814
Nimejibanza kona hapa Bar mmoja huku kwetu kwa mama zakaria kwa Taarifa tu ya kimbea meza nyingi zinapendezeshwa na mzinga wa konyagi mmoja glass na viroba vya kutosha wajengaji wa Taifa hili tunapata burudaan na kukata mafuta kwa vinywaji hivi pendwa ila week kadhaa zinazofata hii hali itabadirika nasikia waziri mkuu amesitisha uzalishaji wa kilaji hiki cha bei Ya raia wa kawaida kama mimi ila huu ni muendelezo tu wamanYanYaso kwetu sisi walevi bei za bia sio elekezi zinapanda na zinatofautiana kila bar...hatuna wakumuuliza wala wa kumlalamikia.

Nasikia wanadai hivi viroba wanakunYwa wanafunzi sasa sijui wanafunzi hawa ni wapi wale watype Ya kupigwa na mwalimu frank au hawa waliofeli hapa dar au wale wa vYuo vikuu ambao kutwa wanalalamika hawana hela za kujikimu....natambua uwepo wa viwanda bubu vingi wa hivi Viroba lakini mamlaka kama TFDA zinafanYa kazi nzuri tu Ya udhibiti mbona....Tuhurumie kwa hili jamaan ...eeh tuacheni tupate kitu roho inapenda jamaani ila Tutafutieni tu njia sahihi sio kila mtu ana mkwanja wa Ciroc na JD wengine sisi baada Ya kubeba zege ...Tunajipongeza na kusaidia kulipa kodi kwa namna hii ...uwiiiiii huYu mtoto mwajuma hili zigo finYango zote hzi jamaan zake tu ...Jamaan baadae hacha nione uumbaji wa muumba
 
Ha ha ha ha unaambiwa hata Dompo ikiamriwa kuuza kwa bei ya kiroba itapigwa marufuku tu Na sirikali hii, kwa maana haitakuwa tena inatumiwa Na wenye hela zao!...cha msingi kunyweni maji kwa wingi!
 
Ha ha ha ha unaambiwa hata Dompo ikiamriwa kuuza kwa bei ya kiroba itapigwa marufuku tu Na sirikali hii, kwa maana haitakuwa tena inatumiwa Na wenye hela zao!...cha msingi kunyweni maji kwa wingi!
haaaa wengine hatutaki kuwa kina RaY sasa
 
Back
Top Bottom