.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
Ninavyojua ulevi ni tabia kuna aina nyingi sana za ulevi.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
Hata mimi nilikuwa na maana hiyo hiyo,ispokuwa sehemu ya tatu umejidanganya.Endelea..Ninavyojua ulevi ni tabia kuna aina nyingi sana za ulevi
ulevi wa wanawake mfano kuoa wake zaidi ya watano, umalaya nk
ulevi wa pombe na kujisahahu but kunywa pombe si lazima uwe mlevi
ulevi wa sigara
ulevi wa kukesha JF kama mimi
ulevi wa dini kama Kakobe nk nk.........
ni ulevi gani unaotaka kutuambia
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
Mimi nabisha mkuu weka ushahidi.
Asante sana dada yangu kwa kunielewa...Nataka nikueleze zaidi kuhusu wingi wa matuta ya barabarani.Tena saaana, hata akiwa m/kiti wa mtaa akiwa mlevi lazima atafanya ufisadi!
walevi huleta maendeleo au wanarudisha nyuma maendeleo?.
Ninavyojua ulevi ni tabia kuna aina nyingi sana za ulevi
ulevi wa wanawake mfano kuoa wake zaidi ya watano, umalaya nk
ulevi wa pombe na kujisahahu but kunywa pombe si lazima uwe mlevi
ulevi wa sigara
ulevi wa kukesha JF kama mimi
ulevi wa dini kama Kakobe nk nk.........
ni ulevi gani unaotaka kutuambia
Mh viwanda vya beer vinachangia sana maendeleo ya taifa kwa kodi wanayolipa serikalini na ajira kwa watanzania, Usisahau fedha za kigeni kumbuka hata huku Pakstani tunapata safari larger