O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,965 Reaction score 6,053 Apr 10, 2026 #201 min -me said: Unyama, na wakati unakunywa unatafuna na korosho au Karanga , baada ya vitu unapiga supu zinto yenye mchanganyiko wa maziwa fresh , karibu bia hapa bwashee π Click to expand... Walevi ujiuma na kujipoza
min -me said: Unyama, na wakati unakunywa unatafuna na korosho au Karanga , baada ya vitu unapiga supu zinto yenye mchanganyiko wa maziwa fresh , karibu bia hapa bwashee π Click to expand... Walevi ujiuma na kujipoza
Rebuild JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,728 Reaction score 7,420 Apr 11, 2026 #202 Mwachiluwi said: Kurudisha akili kwenye sehemu yake Click to expand... Eeeewaa
Mzee wa Uvinza Member Joined Mar 8, 2026 Posts 96 Reaction score 246 Apr 11, 2026 #203 Mwachiluwi said: Kitambi tuta kiepuka kweli Click to expand... Daily nakimbia asubuhi, kitambi kinaepukika kabisa
Mwachiluwi said: Kitambi tuta kiepuka kweli Click to expand... Daily nakimbia asubuhi, kitambi kinaepukika kabisa
K Kama ipo ipo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,553 Reaction score 2,137 Apr 13, 2026 #204 The Icebreaker said: Bia Ya Moto ni mbaya Kama ipo ipo chai ya rangi leta mada Click to expand... Aisee bia ya moto inaweza kukufanya kichwa kikawaka bia ya 3 tuu, chai ya rangi sijainywa kitambo sana
The Icebreaker said: Bia Ya Moto ni mbaya Kama ipo ipo chai ya rangi leta mada Click to expand... Aisee bia ya moto inaweza kukufanya kichwa kikawaka bia ya 3 tuu, chai ya rangi sijainywa kitambo sana