walevi na mwendesha bajaji

walevi na mwendesha bajaji

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
walevi wa3 walikodi bajaji ,dereva alipoona wamelewa sana aliwasha bajaji alafu akaizima.mlevi wa kwanza alisema asante kwa kutufikisha,wapili alimpa hela ,watatu alimpiga kofi dereva akamwambia "siku nyingine usiendeshe kwa kasi!!" so nani aliyekuwa amelewa sana hopo?
 
Hapo hakuna aliemzidi mwenzake wamelewa sawasawa kilichotokea hapo ni mgawanyo wa majukumu 2, mmja kashukuru, mwingine kalaumu na mwingine akatoa hela...
 
Weka thermoter ya kipimo cha pombe then uwalete hapa ili wapimwe.
 
Back
Top Bottom