Walevi ipeni maneno hii Picha.... Sponsored by Seregeti Lite

Walevi ipeni maneno hii Picha.... Sponsored by Seregeti Lite

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
8,714
Reaction score
19,299
64516586_669681243458221_5695543512611684352_n.jpg
 
Jamaa anafuatilia order yake ya kinywaji kwa ukaribu!
Haha!!!
 
lite lite ni vinywaji vya kike
 
Huyu ndio akikuwa kaunta jana. Au nimeishalewa. Ngoja nione anaishia wapi?

Au
Anaenda kweli kucheki chumba au kashaniliza....
 
Back
Top Bottom