msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 295
- 371
Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu
Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor (30+) years.
Me nimepata bahat na kibali cha kufanikiwa kwa kiasi flani kwenye maisha japo sio Tajiri ila naweza kuishi maisha flani ya kawaida. Katika vitu navyovizingatia sana ni kuvaa official outfits na smartness
Sasa kwa hapa nilipojenga maeneo ya .magomeni kiufupi nimegundua wanawake wengi walio olewa wanalika kirahisi na wengi wanatamaa sana . kwa mfano mimi hapa mtaani natoka na wake za watu almost 3 na waume zao naongea nao fresh tu ila hawajui upande wangu wa pili nikiwa na wake zao.
Kuna kipindi nikawa najiuliza shida ni kwamba hawawapendi waume zao maana nikiwa nao hua wanawasema sana mara hawawadekezi , hawawahudumii hawan nguvu za kiume mada waume zao wanachepuka na wao wanalipa
Kilichonishangaza sana kati yao ni kwamba mmoja
wa mke wa jamaa yangu mmoja kati ya hao naotoka nao ni alimkuta single mom wa watoto 2 akamuweka ndani ila bado anamsaliti mumewe na mimi .
hii kitu ilikua inaniumiza sana nimejaribu kumkaushia kwa mda maana jamaa mwenyewe ni mpole sana zaidi ya sana ila nahisi alikosea kuoa ila mkewe ni ananisumbua sana mara aseme kwa jamaa yupo kwa ajili tu ya matunzo ila roho yake haijamridhia kabisa kua nae katika kukutana nae bahat mbaya akapata Mimba yangu kwa mujibu wake ila baba mlezi atakua mmewe 😭
Hadi kuna kipindi najiuliza ni umaskin wa wanawake au tamaa tu yani kua na gari na nyumba ndo sababu ya kulika na kujirahisisha hivyo
Nachowapendea wake za watu hao 3 wote hua hawaniombi pesa labda wao ndo wananipa na vizawadi kiasi japo hii tabia sio nzuri kuwafanyia wanaume wenzangu ila wake zenu wanatufosi kama hapo sahizi kuna jamaa anapewa damu yangu alee yeye
Me nawashauri Oeni wanawake wanao wapenda sio mnaowapenda nyie mkijifanya wagumu wake zenu wataliwa na mtalea damu za wengine bila kujua
ASANTENI