Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,229
- 4,596
- Thread starter
- #3,181
Fafanua mkuuUsipende kuweka track number ya mzigo hadharani. Kama hapa nishajua jina lako kwa kifupi ni YLM
Fafanua mkuuUsipende kuweka track number ya mzigo hadharani. Kama hapa nishajua jina lako kwa kifupi ni YLM
Yeah asirudie tena aseeUsipende kuweka track number ya mzigo hadharani. Kama hapa nishajua jina lako kwa kifupi ni YLM
Usipende kuweka track number ya mzigo hadharani. Kama hapa nishajua jina lako kwa kifupi ni YLM
upo wapi mdau maana posta wameniulizia jina lakoMie nipo nasikilizia mkuu kuna mizigo nimeagiza inaniuma kichwa sana nasubiri ila nw imekaa kimya sana aisee
Nachingweaupo wapi mdau maana posta wameniulizia jina lako
hahahaha acha masihara mkuu gari???Hongera kwa kuagiza gari
Mkuu seller katuma akasahau kutaja wilaya akaishia mkoa tu tizamaupo wapi mdau maana posta wameniulizia jina lako
Unataka simu ganiHivi humu hakuna aliyeichoka simu yake aniuzie bajeti ni 170k-220k
Xiaomi unapata mpya na hiyo budget yako. Redmi 7a.Hivi humu hakuna aliyeichoka simu yake aniuzie bajeti ni 170k-220k
Note 7 sh ngapiXiaomi unapata mpya na hiyo budget yako. Redmi 7a.View attachment 1158039View attachment 1158040
Note 7 sh ngapi
Sisi wa tecno tunakoment wapi
Funguka laki tatu na ngapi au kamili BossKuanzia laki tatu
Kamili unapata, sema ndio hadi uwe mjanja!Funguka laki tatu na ngapi au kamili Boss
Ujanja gani?Kamili unapata, sema ndio hadi uwe mjanja!
Ndio eleza mkuu tufahamu sasa haya mambo hayahitaji hasira aisee msauziyaUjanja gani?
Ndio eleza mkuu tufahamu sasa haya mambo hayahitaji hasira aisee msauziya