So lipi liwe kimbilio letu? Maana order inakata mwezi haijatumwa si utakuwa na vidonda vya tumbo.Huyu niliamua kucancel order mwezi nzima bila kutuma. Fantancy naye huwa namkwepa ninapo chagua bidhaa
Naziona dalili za kutoboa mwezi maana processing time kaweka 40 days. Siku 10 zimesha kata.Huyo hajanijibu msg zangu wiki 2 zinakatika sasa
Bahati nzuri tu nilikuwa sina uharaka na hii simu, kwa kuwa niliagiza vifaa vya kutengeneza simu yangu ya zamani na vilifika faster so nikaiacha tu. Pia nilikuwa nimejiandaa kisaikolojia maana comments nyingi za wanunuzi zilikuwa zina sema wamesubiri hadi mwezi mzima kutumiwa mzigo.Huyu niliamua kucancel order mwezi nzima bila kutuma. Fantancy naye huwa namkwepa ninapo chagua bidhaa
Naona kama imepungua mimi ilianza 47 daysNaziona dalili za kutoboa mwezi maana processing time kaweka 40 days. Siku 10 zimesha kata.
Seller gani mkuu isijekua MI FRANCE maana nna mpango wa kuchukua mi 9t kwake
Hongkong goldway walikuwa vizuri sana sema siku hizi ni nadra kuship huku kwetu.GOLDWAY na MI STORE kwa walio wahi kuwatumia mnawazungumziaje hawa jamaa?
Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana.
Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
Model gani hiyo je unaionaje ?
Wakuu mpesa mastercard yangu ime expire, alafu naona dalili za kuwa refunded kuna seller ananizingua. Ina maana nitafungua mpesa master card mpya. Hapo refund yangu itakuwaje na kadi ya awali imekufa?
Utarudishiwa pesa yako kwenye M-Pesa moja kwa moja. Mimi nimewahi kupokea mara mbili baada ya Mastercard ku expire kisha nika request Mastercard tena.
Kwa hyo ya kwako ikisha expire request nyingine na siku wakiku refund pesa itaingia kwenye M-Pesa na sio Mastercard mpya.
Hiyo waiting to pickup wiki nzima inakera kwakweli mi nikionaģa hivyo naopen dispute hela irudi.Ok mkuu, kuna seller mjinga sana, niliagiza mzigo wa kwanza akatumia siku 9 ku ship, alipo ship siku hiyohiyo nikaongeza kama piece 6 maana nilikuwa na uhtaji sana wa hizo vitu.
Mjinga alichofanya nikuniwekea tracking namba ili nisi open dispute lakin mzigo hajaship. Leo siku ya 21, tracking inasoma wait to pick up. Uki track kwenye webs mbalimbali inaandika order has been created (aliexpress platform).
Hapa nna hasira nae mzigo ulitakiwa kabla ya tarehe 25/10/19. Mzigo wa kwanza umefika tayari.
Yani wachina ni wapumbavu sana saa zingine. Hawana tofauti na ngozi nyeusi aisee
Weka bei pamoja na picha.Anayehitaji Xiami redmi note 5pro
Nilishakutana na case kama hiyo.Wachina wahuni sana hawana tofauti na sisi janja janja nyingi. Ila kuna baadhi waelewa anakuambia ukweli kabisa na text anakujibu faster mie nimepata hadi demu wa kichina uko saivi tunachat whatsapp tu.Ok mkuu, kuna seller mjinga sana, niliagiza mzigo wa kwanza akatumia siku 9 ku ship, alipo ship siku hiyohiyo nikaongeza kama piece 6 maana nilikuwa na uhtaji sana wa hizo vitu.
Mjinga alichofanya nikuniwekea tracking namba ili nisi open dispute lakin mzigo hajaship. Leo siku ya 21, tracking inasoma wait to pick up. Uki track kwenye webs mbalimbali inaandika order has been created (aliexpress platform).
Hapa nna hasira nae mzigo ulitakiwa kabla ya tarehe 25/10/19. Mzigo wa kwanza umefika tayari.
Yani wachina ni wapumbavu sana saa zingine. Hawana tofauti na ngozi nyeusi aisee
Nipe seller mzuri ambae sio mbabaishaji ulienunulia wwYeah tamu na laini kma mlenda
Nilishakutana na case kama hiyo.Wachina wahuni sana hawana tofauti na sisi janja janja nyingi. Ila kuna baadhi waelewa anakuambia ukweli kabisa na text anakujibu faster mie nimepata hadi demu wa kichina uko saivi tunachat whatsapp tu.