Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Huyu niliamua kucancel order mwezi nzima bila kutuma. Fantancy naye huwa namkwepa ninapo chagua bidhaa
Bahati nzuri tu nilikuwa sina uharaka na hii simu, kwa kuwa niliagiza vifaa vya kutengeneza simu yangu ya zamani na vilifika faster so nikaiacha tu. Pia nilikuwa nimejiandaa kisaikolojia maana comments nyingi za wanunuzi zilikuwa zina sema wamesubiri hadi mwezi mzima kutumiwa mzigo.
 
Hapana mwingine tuu huyu, nilinunua spy watch Kama 4 afu za wajeda. Hapa nimedata wajeda wanataka saa afu hela zipo kule. Ila nimepata refund nataka Niangalie seller Mwingine. Pia sasa tuna kipindi cha busy. Mwisho WA mwaka so tuwe makini sana. Wachina wasumbufu Sana wakati mwingine.
Seller gani mkuu isijekua MI FRANCE maana nna mpango wa kuchukua mi 9t kwake
 
Duh nami ndo nataka niagize kwake
Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana.

Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
 
Wakuu mpesa mastercard yangu ime expire, alafu naona dalili za kuwa refunded kuna seller ananizingua. Ina maana nitafungua mpesa master card mpya. Hapo refund yangu itakuwaje na kadi ya awali imekufa?
 
Utarudishiwa pesa yako kwenye M-Pesa moja kwa moja. Mimi nimewahi kupokea mara mbili baada ya Mastercard ku expire kisha nika request Mastercard tena.
Kwa hyo ya kwako ikisha expire request nyingine na siku wakiku refund pesa itaingia kwenye M-Pesa na sio Mastercard mpya.

Ok mkuu, kuna seller mjinga sana, niliagiza mzigo wa kwanza akatumia siku 9 ku ship, alipo ship siku hiyohiyo nikaongeza kama piece 6 maana nilikuwa na uhtaji sana wa hizo vitu.

Mjinga alichofanya nikuniwekea tracking namba ili nisi open dispute lakin mzigo hajaship. Leo siku ya 21, tracking inasoma wait to pick up. Uki track kwenye webs mbalimbali inaandika order has been created (aliexpress platform).

Hapa nna hasira nae mzigo ulitakiwa kabla ya tarehe 25/10/19. Mzigo wa kwanza umefika tayari.

Yani wachina ni wapumbavu sana saa zingine. Hawana tofauti na ngozi nyeusi aisee

Hiyo waiting to pickup wiki nzima inakera kwakweli mi nikionaģa hivyo naopen dispute hela irudi.
 
Ok mkuu, kuna seller mjinga sana, niliagiza mzigo wa kwanza akatumia siku 9 ku ship, alipo ship siku hiyohiyo nikaongeza kama piece 6 maana nilikuwa na uhtaji sana wa hizo vitu.

Mjinga alichofanya nikuniwekea tracking namba ili nisi open dispute lakin mzigo hajaship. Leo siku ya 21, tracking inasoma wait to pick up. Uki track kwenye webs mbalimbali inaandika order has been created (aliexpress platform).

Hapa nna hasira nae mzigo ulitakiwa kabla ya tarehe 25/10/19. Mzigo wa kwanza umefika tayari.

Yani wachina ni wapumbavu sana saa zingine. Hawana tofauti na ngozi nyeusi aisee
Nilishakutana na case kama hiyo.Wachina wahuni sana hawana tofauti na sisi janja janja nyingi. Ila kuna baadhi waelewa anakuambia ukweli kabisa na text anakujibu faster mie nimepata hadi demu wa kichina uko saivi tunachat whatsapp tu.
 
Ulimpataje nitunuku mie mwanzisha thread niimbe nae
Nilishakutana na case kama hiyo.Wachina wahuni sana hawana tofauti na sisi janja janja nyingi. Ila kuna baadhi waelewa anakuambia ukweli kabisa na text anakujibu faster mie nimepata hadi demu wa kichina uko saivi tunachat whatsapp tu.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom