Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,797
- 7,379
Hyyyy waungwana..
Guys kutokana na kubana kwa vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu, imepelekea watu wengi kupishana njia na University...
Kama mm nimetoka na na EED (CBG)...
So nikaamua kujiripua zangu MATI -Uyole nipate ujuzi wa kilimo then nidrop zangu shamba nipige mzigo..
So naomba tujuane hapa watu wote tuliomba Diploma za kilimo na tupeane infos mbalimbali...
Karibu..