Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
..yani mwananangu nakapaga..though najua kwamba si nzuri katika malezi ukuaji na afya..lakini daah!! mbona mi nilipewaga hiyo hiyo mtikila..tena by then my mom alikua anatumia pilsner ice..mbaka leo bado jembe!! Lol
Ukijiangalia unajiona uko sawa wewe?
mkuu Kimbweka nafikiri inategemea na aina ya bar zipo nyingine zina michezo ya watoto mizuri sana tena kuliko hata kwenda nao hotelini na bei ni nafuu je napo hapo usiende nao?Kubwa jinga kweli....
Mie huwa nawashangaa hata wazazi wanaoenda na watoto wao kwenye ma-bar....!!
mkuu Kimbweka nafikiri inategemea na aina ya bar zipo nyingine zina michezo ya watoto mizuri sana tena kuliko hata kwenda nao hotelini na bei ni nafuu je napo hapo usiende nao?
..yani mwananangu nakapaga..though najua kwamba si nzuri katika malezi ukuaji na afya..lakini daah!! mbona mi nilipewaga hiyo hiyo mtikila..tena by then my mom alikua anatumia pilsner ice..mbaka leo bado jembe!! Lol
ndiyo maana!lol....
Hizo za kistaarabu hazina noma....!!
Kuna hizi za mitaani bhana vurugu , matusi, mimoshi ya sigara taabu tupu!
Halafu unamkuta jamaa anaenda na ma-kid wake eti kawatoa out.........!!
leo nina wewe mkuu!!!popote uendeko nipo nawe!!! ahahahahahahah!!!!!
naona juhudi zako za kuntafutia ban ha ha af leo siko tayari mana nimetoka kifungoni kwa miezi 6 staki tena!!
Samahani lakini huyo jamaa kwa sura yake anaonekana ni Mchaga au mpare ambaye pombe kwao sio ishu kabisa.
Mkuu lakini nimetanguliza samahani. sorry kwa kukukwaza.Achana na mambo ya makabila weweee!!!!!!!!!!!!!kabila gani ambalo hawanywi pombe? Kabila gani ambalo pombe ni ishuuu!!!!!!!!!