grndossy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 311
- 80
Mkuu lakini nimetanguliza samahani. sorry kwa kukukwaza.
Poa mkuu.
Mkuu lakini nimetanguliza samahani. sorry kwa kukukwaza.
dah..ndio maana ulinipa mbofumbofu kwenye thread yako kule..hahahahaha!!!halafu nikakupongeza mwenyewe ukajiona mkali.......duh pole kwa ban na karibu tena..hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!
ha ha nilijua sana unanikejeli ndo mana nika kuacha tu!
Samahani lakini huyo jamaa kwa sura yake anaonekana ni Mchaga au mpare ambaye pombe kwao sio ishu kabisa.
Kibaya zaidi ni kwamba huyu jamaa namfaham anaitwa Hamisi duhhh, kitendo anachokifanya haviendani na jina lake!!