Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Forex
tapatalk_jpeg_1575613851982.jpeg
 
Ontario yypo bado anafanya forex jana tu ktoka kupost screenshort ameturn 500$ to 26700$ within a month
Hahahaha watu wanacheza na ajili zenu pale zero zero zinaongezwa tu na ile demo inageuzwa kuwa real ili mvutwe
 
Mkuu nakupa Pole sana ndugu, Dunia huijui na hutakaa uijue hata kidogo, binafsi naishi Kwa ajili ya Biashara ya Forex, Biashara ambayo hata Trump anaisifia.
Utafutaji wa Pesa siyo lazima ubebe koleo, au jembe Smart pekee ni mtaji tosha nyie mnashinda FB mkidhani ndo matumizi ya Smart phone.
Forex ni Biashara Kama biashara nyingine yoyote, ina faida na hasara pia, tatizo ni kwamba hutakiwi kufanya biashara ya Forex bila kusoma darasani karibia mwaka nzima Watu walikurupuka wakidhani ni rahisi Sana kutajirika kupitia Forex, haiko hivyo, ni biashara ya kitajiri kweli kweli ina ngumu kuijua, Binafsi? Nimeisoma Forex Cyprus, Nicosia miaka miwili .
Unaweza kutajirika Ukiwa unakunywa kahawa tu, kama hujui Pole sana, kwani wanao bet mpira na kupata mamilioni huwa wanashika jembe?
Sasa Forex ni zaidi ya hapo na tena msiijue wengi ,wachache tuendelee kuwaajiri nyie vipofu wa Dunia.
Mhh, mkuu umemaliza nakumbuka kuna kipindi nilikuwa natoka home na PC pekee naenda hoteli yotote natumia kama nusu saa kufanya analysis na kupata sniper entries za kibabe, natia oda mbili tu nachukua hata 100k ya kula pale then naendelea na mishe.
 
Vipi umeacha au bado unaendelea?
 
Kama unakuwa busy kuliko hicho kilichokuwa kinakupa dollar 100 ndani ya sekunde kadhaa ukiwa na laptop yako 5 star hotel huku unakunywa kahawa bila shaka utakuwa levels za kina GSM, Mo
100k=100$???????
 
Sawa laki moja ndani ya visekunde ukiwa five star hotel.. Kwanini hukuendelea na hayo maisha? Kwanini usingeweka juhudi zaidi huko?

Au umekuwa Bakhressa now??
Unanifanya nicheke mkuu jinsi unavyoweza kuichukulia laki kama pesa kubwa kiasi cha kumfanya mtu astop mishe zingine na kuwekeza akili, muda na nguvu kwenye hiyo kitu. Mimi nilikuwa nafanya vile kama sehemu ya kupoteza mawazo na kujaribu vitu nilivyosoma kwa mtaalam Michael kama kweli vinawork au ni sehemu ya propaganda.
 
Bakhressa alivyoanza kuchoma chapati na kupata faida kidogo kidogo, alikuza biashara yake mpaka tunavyoiona leo.

Sasa kama wewe kimzaha ulikuwa unaweza pata laki ndani ya muda mfupi, kwanini usingetia juhudi upate million au million kumi na kuendelea?? Kwanini uache na ufanye mishe zingine??
 
Kama unakuwa busy kuliko hicho kilichokuwa kinakupa dollar 100 ndani ya sekunde kadhaa ukiwa na laptop yako 5 star hotel huku unakunywa kahawa bila shaka utakuwa levels za kina GSM, Mo
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bakhressa alivyoanza kuchoma chapati na kupata faida kidogo kidogo, alikuza biashara yake mpaka tunavyoiona leo.

Sasa kama wewe kimzaha ulikuwa unaweza pata laki ndani ya muda mfupi, kwanini usingetia juhudi upate million au million kumi na kuendelea?? Kwanini uache na ufanye mishe zingine??
Dah jamaa alikuwa na uhakika wa laki kwa siku ni ngap apo kwa mwezi?? Halafu ameacha eti ..atakuwa ni tajiri likwe likwe..
 
Bakhressa alivyoanza kuchoma chapati na kupata faida kidogo kidogo, alikuza biashara yake mpaka tunavyoiona leo.

Sasa kama wewe kimzaha ulikuwa unaweza pata laki ndani ya muda mfupi, kwanini usingetia juhudi upate million au million kumi na kuendelea?? Kwanini uache na ufanye mishe zingine??
Inawezekana huyo unayemtaja aliamini katika hiyo biashara ya kuchoma chapati na akaamua kuikuza na kuifanya ikue mpaka ilipofika sasa. Tofauti na mimi kipindi nafanya hiyo forex ilikuwa ni sehemu ya kuconfirm vitu nilivyosoma kwa jamaa ila kuna mahali nimewekeza nguvu zangu, akili na kila kitu changu. Na niliamua kufanya confimation sababu nilitumia muda mrefu sana kusoma(zaidi ya miezi sita) na nikalipia 2000$ kupata hizo videos hiyo ndo ilinifanya niingie sokoni kujaribu.
 
Unanifanya nicheke mkuu jinsi unavyoweza kuichukulia laki kama pesa kubwa kiasi cha kumfanya mtu astop mishe zingine na kuwekeza akili, muda na nguvu kwenye hiyo kitu. Mimi nilikuwa nafanya vile kama sehemu ya kupoteza mawazo na kujaribu vitu nilivyosoma kwa mtaalam Michael kama kweli vinawork au ni sehemu ya propaganda.
Duh sas hizo mishe zingine zinaingiza laki ngapi kwa siku mkuu ..tupeane madili basi boss
Maana kama uliacha laki ya fx iti minsi unaingiza zaidi ya Hiyo boss..

Wewe utakuwa ni tajiri sana ..
 
Kwakwa umeamua kuniita hivyo tumshukuru Mungu.
 
Inawezekana huyo unayemtaja aliamini katika hiyo biashara ya kuchoma chapati na akaamua kuikuza na kuifanya ikue mpaka ilipofika sasa. Tofauti na mimi kipindi nafanya hiyo forex ilikuwa ni sehemu ya kuconfirm vitu nilivyosoma kwa jamaa ila kuna mahali nimewekeza nguvu zangu, akili na kila kitu changu. Na niliamua kufanya confimation sababu nilitumia muda mrefu sana kusoma(zaidi ya miezi sita) na nikalipia 2000$ kupata hizo videos hiyo ndo ilinifanya niingie sokoni kujaribu.

acha uongo bana we mtu mzima ujue.
 
Back
Top Bottom