Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Anakwambia ndani ya visekunde kadhaa tu akiwa pale Double Tree na kikombe cha kahawa anadownload laki fasta..

Huyu sasahivi atakuwa anashindana na kina Manji huyu hehehe
Aise ni balaa mkuu na kikombe cha kahawa ana daunlodi laki yake fasta tu halafu eti ameacha dah..maisha haya..!!
 
Inawezekana huyo unayemtaja aliamini katika hiyo biashara ya kuchoma chapati na akaamua kuikuza na kuifanya ikue mpaka ilipofika sasa. Tofauti na mimi kipindi nafanya hiyo forex ilikuwa ni sehemu ya kuconfirm vitu nilivyosoma kwa jamaa ila kuna mahali nimewekeza nguvu zangu, akili na kila kitu changu. Na niliamua kufanya confimation sababu nilitumia muda mrefu sana kusoma(zaidi ya miezi sita) na nikalipia 2000$ kupata hizo videos hiyo ndo ilinifanya niingie sokoni kujaribu.
Hujibu swali, kama ilikuwa rahisi kupata hizo laki laki ndani ya muda mfupi kila unapotaka, why ignoring it then??

Hata matajiri wakubwa huwa wanashift interests na investments zao. Kama sio kushift basi at least kuongeza.

Nijibu tu, why umeignore kupata laki isiyo na jasho au huko kwenye mishe zako pia unapiga mipesa ukiwa na kikombe cha kahawa mkononi, no pressure!! 😅
 
Hahahaha jeiefu bana ..labda jamaa yetu sasa anaingiza laki tano bila jasho so akaamua kupiga chini mradi wa fx maana amesema aliwekeza hadi usd 2000 kujifunza.

Unajua matajiri kama hawa hupiga miradi chini baada ya kupata miradi yenye faida kubwa. hahaha
 
😂😂😂😂 Daaaahh Lemutuz anakwambia let me keep up with my AMERICAN SPIRIT..

Bongo Tambaralez aiseee
 
Bakhressa alivyoanza kuchoma chapati na kupata faida kidogo kidogo, alikuza biashara yake mpaka tunavyoiona leo.

Sasa kama wewe kimzaha ulikuwa unaweza pata laki ndani ya muda mfupi, kwanini usingetia juhudi upate million au million kumi na kuendelea?? Kwanini uache na ufanye mishe zingine??
Nimeshangaa na mimi.

Yani upate 100K a day hiyo ni 500K a week.

Manake in a year with capital growth angeweza laza zaidi ya $5000 in a week.

Kuna kitu tunadanganywa hapo.
 
Hujibu swali, kama ilikuwa rahisi kupata hizo laki laki ndani ya muda mfupi kila unapotaka, why ignoring it then??

Hata matajiri wakubwa huwa wanashift interests na investments zao. Kama sio kushift basi at least kuongeza.

Nijibu tu, why umeignore kupata laki isiyo na jasho au huko kwenye mishe zako pia unapiga mipesa ukiwa na kikombe cha kahawa mkononi, no pressure!! 😅
Mkuu ungependa nikujibu unavyotaka au uhalisia?
 
Nimeshangaa na mimi.

Yani upate 100K a day hiyo ni 500K a week.

Manake in a year with capital growth angeweza laza zaidi ya $5000 in a week.

Kuna kitu tunadanganywa hapo.
Ujanja ujanja mwingi...

Hakuna mtu anayeweza kuacha biashara/activity inayompa faida. Hata anayefanya illegal business hawezi acha kufanya regardless ameshajikwamua kwenye umaskini kupitia biashara hiyo sembuse yeye aliyekuwa anafanya biashara halali..
 
Hujibu swali, kama ilikuwa rahisi kupata hizo laki laki ndani ya muda mfupi kila unapotaka, why ignoring it then??

Hata matajiri wakubwa huwa wanashift interests na investments zao. Kama sio kushift basi at least kuongeza.

Nijibu tu, why umeignore kupata laki isiyo na jasho au huko kwenye mishe zako pia unapiga mipesa ukiwa na kikombe cha kahawa mkononi, no pressure!! 😅
Kabla hao unaowaita matajiri hawajafanya yote uliyoyataja(kushift interests na investments) kuna vigezo kadhaa wanaviangalia tofauti kabisa na kiasi cha pesa kinachopatikana kwenye hiyo biashara/ mradi mpya.
 
Naomba tuishie tu hapo mkuu..
 
Forex haikuzuii kufanya mishe zingine inategemea unatak nn ktk maisha,unaweza toa pesa ktk fxukaweka ktk mirand mingine kama real estate,crypto,uchimbaji madin,kilimo,ufugaji .n.k, sometimes soko huvimba mwez mzima linachoppy tu huku bz nyingine zina run ndo maana ya wealth,
ila mtu akinambia nimebanwa na ajira nikaacha kutrade bas huyo either si succesfull trader au hana mtaji wa kutosha au hajiamini, kama uweza make 20$ a day yanin uwe mtumwa,
 
DSC_0153.jpg

View attachment 1288015
🚶‍♂️
Dada wa mapokezi nimemkumbuka
 
Back
Top Bottom