Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,700
Reaction score
35,781
DSC_0153.jpg

1584266_IMG-20170906-WA0006.jpeg

🚶‍♂️
 
Watanzania tukumbuke hakuna pesa ya bure kiasi hicho kama walivyokuwa wanasema wale Wasouth Africa pale Jangid Plaza .Eti mtu muhitimu wa chuo kikuu tena taaluma ya biashara na uchumi na mambo ya fedha bila kusahau unaishi sinza kwa wajanja halafu bado anafikiri kuna pesa ya bure yaani utengeneze pesa hata ukiwa chumbani kwako.Mjiulize tu tajiri gani katika huu ulimwengu unayemjua amewekeza huko unapowekeza wewe au unafikiri wewe ndiyo mbunifu sana.Kumbukeni tu hakuna pesa ya bure Fanya kazi.Ile Elfu sitini zenu nazikumbuka sana ambazo mlilizwa
 
wewe hukulizwa Mkuu?
 
Mkuu nakupa Pole sana ndugu, Dunia huijui na hutakaa uijue hata kidogo, binafsi naishi Kwa ajili ya Biashara ya Forex, Biashara ambayo hata Trump anaisifia.
Utafutaji wa Pesa siyo lazima ubebe koleo, au jembe Smart pekee ni mtaji tosha nyie mnashinda FB mkidhani ndo matumizi ya Smart phone.
Forex ni Biashara Kama biashara nyingine yoyote, ina faida na hasara pia, tatizo ni kwamba hutakiwi kufanya biashara ya Forex bila kusoma darasani karibia mwaka nzima Watu walikurupuka wakidhani ni rahisi Sana kutajirika kupitia Forex, haiko hivyo, ni biashara ya kitajiri kweli kweli ina ngumu kuijua, Binafsi? Nimeisoma Forex Cyprus, Nicosia miaka miwili .
Unaweza kutajirika Ukiwa unakunywa kahawa tu, kama hujui Pole sana, kwani wanao bet mpira na kupata mamilioni huwa wanashika jembe?
Sasa Forex ni zaidi ya hapo na tena msiijue wengi ,wachache tuendelee kuwaajiri nyie vipofu wa Dunia.
 
Watanzania tukumbuke hakuna pesa ya bure kiasi hicho kama walivyokuwa wanasema wale Wasouth Africa pale Jangid Plaza .Eti mtu muhitimu wa chuo kikuu tena taaluma ya biashara na uchumi na mambo ya fedha bila kusahau unaishi sinza kwa wajanja halafu bado anafikiri kuna pesa ya bure yaani utengeneze pesa hata ukiwa chumbani kwako.Mjiulize tu tajiri gani katika huu ulimwengu unayemjua amewekeza huko unapowekeza wewe au unafikiri wewe ndiyo mbunifu sana.Kumbukeni tu hakuna pesa ya bure Fanya kazi.Ile Elfu sitini zenu nazikumbuka sana ambazo mlilizwa
Akili yako ipo very narrow......hawa ndio wazee wa kukariri...Forex watu wanarisk mitaji yao sio kwamba wanakwenda kuchuma pesa bure... the more money you risk.....the more money you gain....the less you risk the less u get......muhadithie na mkeo.... P....we
 
Back
Top Bottom