Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Mkuu hao ndio wakiona maisha yako yanabadirika wanasema wewe ni freemason!

Utasikia wanasema hivi magari na majumba yote hayo kwa kazi gani anayo fanya. Ukiwaambia hizi smart phone zina zaidi ya whatsapp na facebook hawakuelewi.

Watz poleni sana kwa kweli.
Inahtaji moyo mkuu kufanya hyo business ambayo haina government regulation , yaan mnaaminiana tu na kufanya miamala duh
 
Hahahahah....nilitaka nifungue chuo kabisa Tanzania cha Forex College lakini Mh ana roho ya umaskini Sana ataniharibia tu nikaona bora niache, nataka kufungua Nairobi
Mkuu nawish kujoin aisee, mchakato ukikamilika nistue
 
Mbona madini yanalipa ila si matajiri wote wanaochimba madini!? So kila mtu hufanya anachokipenda kuhusu hao wenye kesi mahakamani hao si trader wa kweli trader hajipatii ela kutoka kwa mtu isupokua ya mafunzo tu trader hujipatia hela kutoka ktika MT 4 or 5 tu
Kwenye pesa kunajukulikana Mkuu hakuna aliyefanikiwa kupitia Forex Maisha yao tunayajua vizuri tunaishi nao mtaani na anayejidai kafanikiwa kupitia Forex yeye anataka kuwatapeli wale wanaotaka pesa za kudownload kitu ambacho hakipo.Fanyeni kazi mpate pesa maana waliothubutu kuweka hela huku wamelia sana na kwa wale walioweka pesa za mkopo kutoka kwa watu wanaowaamini maishia kusota jela,mahakamani,polisi..
 
Mkuu umesimamia msimamo ndug
 
DSC_0153.jpg

🚶‍♂️
hahaha kina cre money umenikumbusha hapa aisee kila siku sa kumi na moja mtu uko ndani ya kiyoyozi
 
Mkuu nakupa Pole sana ndugu, Dunia huijui na hutakaa uijue hata kidogo, binafsi naishi Kwa ajili ya Biashara ya Forex, Biashara ambayo hata Trump anaisifia.
Utafutaji wa Pesa siyo lazima ubebe koleo, au jembe Smart pekee ni mtaji tosha nyie mnashinda FB mkidhani ndo matumizi ya Smart phone.
Forex ni Biashara Kama biashara nyingine yoyote, ina faida na hasara pia, tatizo ni kwamba hutakiwi kufanya biashara ya Forex bila kusoma darasani karibia mwaka nzima Watu walikurupuka wakidhani ni rahisi Sana kutajirika kupitia Forex, haiko hivyo, ni biashara ya kitajiri kweli kweli ina ngumu kuijua, Binafsi? Nimeisoma Forex Cyprus, Nicosia miaka miwili .
Unaweza kutajirika Ukiwa unakunywa kahawa tu, kama hujui Pole sana, kwani wanao bet mpira na kupata mamilioni huwa wanashika jembe?
Sasa Forex ni zaidi ya hapo na tena msiijue wengi ,wachache tuendelee kuwaajiri nyie vipofu wa Dunia.
people comfuse na wengi hawajui forex ni nini and most of them hate see niggas make 30k usd a month in the room while their workinng hard for month to make roughly less than 500 usd and how you use your brain
 
Mkuu nakupa Pole sana ndugu, Dunia huijui na hutakaa uijue hata kidogo, binafsi naishi Kwa ajili ya Biashara ya Forex, Biashara ambayo hata Trump anaisifia.
Utafutaji wa Pesa siyo lazima ubebe koleo, au jembe Smart pekee ni mtaji tosha nyie mnashinda FB mkidhani ndo matumizi ya Smart phone.
Forex ni Biashara Kama biashara nyingine yoyote, ina faida na hasara pia, tatizo ni kwamba hutakiwi kufanya biashara ya Forex bila kusoma darasani karibia mwaka nzima Watu walikurupuka wakidhani ni rahisi Sana kutajirika kupitia Forex, haiko hivyo, ni biashara ya kitajiri kweli kweli ina ngumu kuijua, Binafsi? Nimeisoma Forex Cyprus, Nicosia miaka miwili .
Unaweza kutajirika Ukiwa unakunywa kahawa tu, kama hujui Pole sana, kwani wanao bet mpira na kupata mamilioni huwa wanashika jembe?
Sasa Forex ni zaidi ya hapo na tena msiijue wengi ,wachache tuendelee kuwaajiri nyie vipofu wa Dunia.
Sawa ONTARIO
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Acha wasijue ili sisi tujie kiulaini,wao wanajua forex ukiweka hela hapo hapo unakuwa tajiri wakt forex Ni biashara km zingine tu ambazo ukizingua mtaji unaenda na maji sasa hawa watu hawalijui hilo
Ni kweli ONTARIO
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe uko nje ya Dunia hii Pole sana na Kama una Elimu basi haijakusaidia lolote, Ni Kwa sababu tu sitaki kujulikana humu, ningekuwekea screen shot ya Forex yangu jinsi nilivyoanza Kwa $50 na baaada ya miezi sita nikafikisha $18,500
Huhitaji kulipia leseni ili ufanye Biashara ya Forex wala Huhitaji kuajiri watu na kuwa na ofisi, hii ni Online Business ambayo watu wanapiga pesa ndefu kimya kimya, wakiwa na Smart Phone tu huku wakila bia.
Pole Sana mkuu uko nje ya Dunia
Duuh ONTARIO umesema kweli
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom