Wale wazee wa FOREX , wangap tunalikumbuka hili jengo

Mkuu nakupa Pole sana ndugu, Dunia huijui na hutakaa uijue hata kidogo, binafsi naishi Kwa ajili ya Biashara ya Forex, Biashara ambayo hata Trump anaisifia.
Utafutaji wa Pesa siyo lazima ubebe koleo, au jembe Smart pekee ni mtaji tosha nyie mnashinda FB mkidhani ndo matumizi ya Smart phone.
Forex ni Biashara Kama biashara nyingine yoyote, ina faida na hasara pia, tatizo ni kwamba hutakiwi kufanya biashara ya Forex bila kusoma darasani karibia mwaka nzima Watu walikurupuka wakidhani ni rahisi Sana kutajirika kupitia Forex, haiko hivyo, ni biashara ya kitajiri kweli kweli ina ngumu kuijua, Binafsi? Nimeisoma Forex Cyprus, Nicosia miaka miwili .
Unaweza kutajirika Ukiwa unakunywa kahawa tu, kama hujui Pole sana, kwani wanao bet mpira na kupata mamilioni huwa wanashika jembe?
Sasa Forex ni zaidi ya hapo na tena msiijue wengi ,wachache tuendelee kuwaajiri nyie vipofu wa Dunia.
Mkuu hao ndio wakiona maisha yako yanabadirika wanasema wewe ni freemason!

Utasikia wanasema hivi magari na majumba yote hayo kwa kazi gani anayo fanya. Ukiwaambia hizi smart phone zina zaidi ya whatsapp na facebook hawakuelewi.

Watz poleni sana kwa kweli.
 
Nataka unifundishe na mimi mkuu!!
 
kama ingekuwa kuna maisha mazuri Forex hakika Leo matajiri wangekuwa watu wanaofanya hiyo biashara Lakini ajabu wengi waliojaribu kufanya hiyo biashara wapo mahakamani kwa kesi za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu pamoja na kesi za madai makubwa.Yaani MTU anabisha tu kwasababu uanataka kutapeli wenzako.Narudia tena hakuna pesa ya bure namna hiyo thubutu kuweka pesa yako ulie na kuchanganyikiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli mchungu mkuu
 
Acha wasijue ili sisi tujie kiulaini,wao wanajua forex ukiweka hela hapo hapo unakuwa tajiri wakt forex Ni biashara km zingine tu ambazo ukizingua mtaji unaenda na maji sasa hawa watu hawalijui hilo
 
hayo mambo hayana kitu wanaofaidika ni waanzilishi wengine watavaa suti na joto la hapi daslamu mpaka waive kikubwa vijana tupamvane kama ni kazi tupige kama upo unasoma soma kweli maisha si mara hisi kama watu wa forex wanavyo hadithia
 
Mkuu hao ndio wakiona maisha yako yanabadirika wanasema wewe ni freemason!

Utasikia wanasema hivi magari na majumba yote hayo kwa kazi gani anayo fanya. Ukiwaambia hizi smart phone zina zaidi ya whatsapp na facebook hawakuelewi.

Watz poleni sana kwa kweli.
Ni kweli kabisa mkuu, hawajui kuwa Smart phone ni mtaji tosha, wanabaki kubeba bahasha wakitafuta kazi huku Smart Phone wakizitumia kwenye ngono kutafuta Wanawake Facebook
 
kama ingekuwa kuna maisha mazuri Forex hakika Leo matajiri wangekuwa watu wanaofanya hiyo biashara Lakini ajabu wengi waliojaribu kufanya hiyo biashara wapo mahakamani kwa kesi za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu pamoja na kesi za madai makubwa.Yaani MTU anabisha tu kwasababu uanataka kutapeli wenzako.Narudia tena hakuna pesa ya bure namna hiyo thubutu kuweka pesa yako ulie na kuchanganyikiwa
Wewe uko nje ya Dunia hii Pole sana na Kama una Elimu basi haijakusaidia lolote, Ni Kwa sababu tu sitaki kujulikana humu, ningekuwekea screen shot ya Forex yangu jinsi nilivyoanza Kwa $50 na baaada ya miezi sita nikafikisha $18,500
Huhitaji kulipia leseni ili ufanye Biashara ya Forex wala Huhitaji kuajiri watu na kuwa na ofisi, hii ni Online Business ambayo watu wanapiga pesa ndefu kimya kimya, wakiwa na Smart Phone tu huku wakila bia.
Pole Sana mkuu uko nje ya Dunia
 
Acha wasijue ili sisi tujie kiulaini,wao wanajua forex ukiweka hela hapo hapo unakuwa tajiri wakt forex Ni biashara km zingine tu ambazo ukizingua mtaji unaenda na maji sasa hawa watu hawalijui hilo
Hawa wamekariri kufuga kuku wa mayai eti ndo Biashara
 
Kuna rafiki angu nae anadownload hela kama wewe...nikamwambia anielekeze akasema ni Long process pia so haina shida mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pigeni pesa hizoo
Hahahahah....nilitaka nifungue chuo kabisa Tanzania cha Forex College lakini Mh ana roho ya umaskini Sana ataniharibia tu nikaona bora niache, nataka kufungua Nairobi
 
kama ingekuwa kuna maisha mazuri Forex hakika Leo matajiri wangekuwa watu wanaofanya hiyo biashara Lakini ajabu wengi waliojaribu kufanya hiyo biashara wapo mahakamani kwa kesi za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu pamoja na kesi za madai makubwa.Yaani MTU anabisha tu kwasababu uanataka kutapeli wenzako.Narudia tena hakuna pesa ya bure namna hiyo thubutu kuweka pesa yako ulie na kuchanganyikiwa
Mbona madini yanalipa ila si matajiri wote wanaochimba madini!? So kila mtu hufanya anachokipenda kuhusu hao wenye kesi mahakamani hao si trader wa kweli trader hajipatii ela kutoka kwa mtu isupokua ya mafunzo tu trader hujipatia hela kutoka ktika MT 4 or 5 tu
 
Back
Top Bottom