englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hahahhahahahha kumbe zamani wanaume walikua wanavaa high heels? Lol
na vile vishati vya kubana(vifungo vinafunguliwa mpaka kifuani)...na suruali chini imechanua...na afro la nguvu + chanuo inawekewa hapohapo!!!Hahahhahahahha kumbe zamani wanaume walikua wanavaa high heels? Lol
hujui kama sie ndio tumewaiga? Hiyo ilikuwa ni fasheni ya wanaume atii
na vile vishati vya kubana(vifungo vinafunguliwa mpaka kifuani)...na suruali chini imechanua...na afro la nguvu + chanuo inawekewa hapohapo!!!