Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

Ragna

Member
Jan 22, 2017
50
16
Habari wakuu nataka kujua wale watu ambao wanauza gb 30 kwa 15,000Tsh unatumia miezi mitatu ni kweli au matapeli na vipi kuhusu kisheria hicho kitu ni legal.
 
Unataka kila kitu kisheria utaweza sasa mkuu,Fanya unachoona kinafaa basi, walioweka sheria wenyewe wanazivunja sembuse wewe
 
Simanishi kuwa nafuata sheria lazima ujue upande wa pili wa sarafu nikikosea apa adhabu yake ni hipi hili badae usije mlaumu mtu kwama sikujui
 
Sheria zipo ili zivunjwe, hakuna mahali popote hapa duniani watu wataishi kama watakatifu.
 
Simanishi kuwa nafuata sheria lazima ujue upande wa pili wa sarafu nikikosea apa adhabu yake ni hipi hili badae usije mlaumu mtu kwama sikujui
Wewe vunja sheria ufaidike,acha woga ndo maana huwa hamfanikiwi kwa kutaka uhalali kwa kila kitu
 
Habari wakuu nataka kujua wale watu ambao wanauza gb 30 kwa 15,000Tsh unatumia miezi mitatu ni kweli au matapeli na vipi kuhusu kisheria hicho kitu ni legal.
Nimepata ufafanuzi kutoka customer care ni matapeli tu
 
Back
Top Bottom