Wale watabe wa EGM tukutane hapa

Wale watabe wa EGM tukutane hapa

Uptown_tz

Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
46
Reaction score
24
Tuliokua tukisoma kuvunja historia ya Lipumba but tukaambulia one kali za EGM.

Kwa mtazamo wangu watu kama Lipumba na Martin Chegere wamechangia sana kuinspire na kufanya wanafunzi wengi wa EGM kufaulu vizuri kutokana na historia zao, sana sana Lipumba maana ni kwa hata wanafunzi wa zamani kidogo.

Big up to them.
 
Sasa wavunje rekodi kivipi? Kwamba hakuna wanafunzi aliye wahi pata A ya uchumi au?

Au unatuletea stori za kijiweni humu?
 
Hizo story nikiwa form 2 bro wangu alienda kusoma EGM akawa anatupigia za akina Lipumba mwishowe ndoto zangu za kuwa doctor zikakatishwa na mwl wa bios aliyekuwa anatumia notice za mwaka 47,nikavutiwa na EGM ajabu nikafaulu combi tatu PGM,PCM& EGM nikavhaguliwa PGM kufika shule naambiwa hii combination tangu ianzishwe hajawahi kufaulu mtu hata div 3,Daaah ndoto za kuwa rubani wa ndege zikaisha ksb Mwl physics alikuwa wa hovyo sana nikasoma mwezi nikahamia EGM nikasoma zangu nikapiga div two yangu safi nikaenda chuo nikafanya finance now mambo si mbaya nategemewa kazini na familia hakika EGM ndo amekuwa mkombozi
 
Interesting, sometimes maisha yanaenda yanavyotaka sio unavyotaka
 
Namaanisha div one ya 3, na wastan km wa Lipumba
Kwa hiyo hakuna mwanafunzi wa egm aliye pata one ya 3 ukiacha hao ulio wataja?

Na Huo wastani umeujuaje? Na una uhakika gani hakuna mwanafunzi aliye upata?

Hivi hizi stori mnazopiga mkiwa bweni kwann mnatuletea huku jf?
 
Hizo story nikiwa form 2 bro wangu alienda kusoma EGM akawa anatupigia za akina Lipumba mwishowe ndoto zangu za kuwa doctor zikakatishwa na mwl wa bios aliyekuwa anatumia notice za mwaka 47,nikavutiwa na EGM ajabu nikafaulu combi tatu PGM,PCM& EGM nikavhaguliwa PGM kufika shule naambiwa hii combination tangu ianzishwe hajawahi kufaulu mtu hata div 3,Daaah ndoto za kuwa rubani wa ndege zikaisha ksb Mwl physics alikuwa wa hovyo sana nikasoma mwezi nikahamia EGM nikasoma zangu nikapiga div two yangu safi nikaenda chuo nikafanya finance now mambo si mbaya nategemewa kazini na familia hakika EGM ndo amekuwa mkombozi

Kwa hiyo uliacha kusoma PGM kisa umeambiwa hakuna aliye wahi pata div 3? Na wewe ukaamini?

Huyu nae anatuambia hakuna aliye wahi pata one ya 3 ya egm ukiacha akina lipumba yani ni upuuzi mtupu!

Na kuna mtu akisikia stori za kijinga kama hizi ataacha kusoma egm ahamie hkl!!

Ndio maana sipendi hizi stori za vijuweni maana zinaharibu future za watu.
 
Niliacha ksb mwl wa Physics alikuwa wa ajabu ukiuliza swali anatukana matusi ya nguoni,anafundisha ilimradi na alikuwa doja kishenzi pia mazingira hayakuwa rafiki kwa PGM japokuwa haikuwa combi niliyoipenda lakini pia history ilichangia so nikabadilisha gia angani ambayo sikujuta ksb nilifaulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom