downlad joomla Joomla! The CMS Trusted By Millions for their Websiteskuna project imetengenezwa na JOOMLA sasa natafuta njia ya ku iweka kwenye pc yangu niweze ku edit au ku view kama kwenye localhost..
msaada wenu wa wakuu...
HAPO MKUU NIPO SAWA ILA SASA MFANO KAMA KUNA WEBSITE ILIKWISHA TENGENEZWA TAYARI NIKA I DOWNLOAD KWENYE CPANEL SASA NASHINDWA KUJUA NITAIWEKA VP NIWEZE KUONA CODE, IMAGE PROFILE N.K,.
JOOMLA NI NAYO NA NIMESHA IWEKA KWENYE FOLDER LA www LA WAMP NIKAENDA KWENYE LOCALHOST NIKA ISTALL SASA SINA IDEA YA KUI IMPORT FOLDER LA HII SITE..
Mkuu nashukuruuuuu saaaaana nimefanikiwa kwa 100% bila shida.
Shukrani!
Pamoja na kurudisha feedback ya kufanikiwa but myself sijawasoma vizuri kwenye hii topic, maana ulichoomba kusaidiwa ni ku edit exsting joomla site
Kama hichi ndio ulichotaka kufanya then solution ilikua ku login kwenye cpanel ya hiyo site huko huko ilipo. Sasa maelekezo ya ya kufanya cloning kwenye localhost halafu ndio u edit, I don't get how you will be able to edit the oroginal site