Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

Tatizo wewe paka umejiingiza katika mtanange na Simba.

Hujajibu maswali yangu.

Pilipili ya shamba inakuwashia nini?

Unawasumbua wanawake kwa wanavyochagua jinsi ya kuolewa, unataka kuolewa wewe?
Sasa pilipili ya shamba kinakuwashia nini mimi kuwaingilia wanawake? Au Ulitaka nije nikuingilie wewe sio?
Tatizo Paipu Yangu kubwa sana haitoshi ndogo yako
 
Sasa pilipili ya shamba kinakuwashia nini mimi kuwaingilia wanawake? Au Ulitaka nije nikuingilie wewe sio?
Tatizo Paipu Yangu kubwa sana haitoshi ndogo yako
Wewe huna paipu.

Ndiyo maana unafuatilia mwanamke gani anaolewa na nani.

Kwa sababu unawaonea gele wanawake wanaoolewa na wazungu.

Unataka kuolewa wewe.

Mwenye paipu hawezi kushupalia mwanamke gani kaolewa na mzungu, anatafuta wake na kutulia naye.
 
Ulijuaje kama mimi sina paipu?
ulinipa Tobo nikashindwa???
 
Ulijuaje kama mimi sina paipu?
ulinipa Tobo nikashindwa???
Huna paipu kwa sababu unagombania kuolewa na wazungu, unapigania market hiyo na wanawake.

Mwanamme mwenye paipu hagombanii na wanawake kuolewa na wazungu.

Anatafuta mwanamke wake na kutulia.
 
Huyo ni mtu mmoja unayemfahamu!.

Aliyekuambia Wazungu wote wako hivo ni nani?

Unaweza kuthibitisha kwamba wanawake wote wanaoolewa na wazungu, wanatafuta wazee?

Ninaona roho ya wivu na kutokujiamini inakusumbua.

Tatizo ulilonalo ninaliona wanalo wanaume wenzangu wengi wa huko. Elimu ya mapenzi hakuna hata chembe. Mnaoa wanawake kama nyenzo ya kujiburudisha, na kufliwa nguvo, kupikiwa, kulindiwa nyumba, kuhudumiwa ndugu zako.

Hujui kwamba mapenzi na ndoa ni zaidi ya sexual intercourse? Bahati mbaya mnakimbilia kuongelea sex wakati hata sanaa yake hamjui mnabaki kuwa kero kwa mwenzi wako. Yako mengi ya kujifunza.

Acha kabisa kuwakandia wazungu kwa sababu ya unamfaham mmoja!. Jifunze kupenda siyo ku sex.
waeleze waeleze kaka..wabongo mapenzi kwao ni sex tu..hawajui kingine
 
Ni ujinga, ushamba , ulimbukeni, ukosefu wa ushauri, kukosa focus ktk maisha , kuendekeza njaa, kuukana utu wako, kutojithamini,

Mwisho wa siku hayaolewi..
 
Back
Top Bottom